Napata shida kujadili hoja ya currency pegging kwasababu nilikutana nayo mara ya mwisho kwenye darasa la Prof. Wangwe mwaka 1981.
Lakini hoja ya pili ya marekebisho ya kodi ina mashiko. Mfumo wetu wa kodi ni masalia ya siasa ya Ujamaa na sera zake za import substitution, ambapo viwango vya kodi...
Mfumo wa Kodi wa nchi yetu ulibuniwa enzi za Mwalimu, wakati nchi ikiwa na azma ya kujenga uchumi wa kijamaa. Ujasiriamali ulitambulika kama ubepari ambao ulikuwa moja ya vitu vya kupigwa vita. Mfumo wa Kodi ulibuniwa pamoja na mambo mengine pia kupambana na ubepari, na ndio maana masharti ya...
Kwanini bei ya gesi ilinganishwe na bei ya petroli wakati gesi hii inazalishwa hapa nchini, kusafirishwa kwa bomba (letu), au tayari Serikali imeshaingiza matozo ya REA, TBS, Railway Levy n.k, kwenye mfumo wa bei ya gesi??
Wahadhiri wa Kitanzania hawajielewi. Matokeo ya wanafunzi kuwa mazuri inapaswa kuwa ni positive feedback kwa Mhadhiri kuwa amefundisha vizuri na kueleweka. Wanafunzi wanaojiunga na vyuo sio vilaza, kwani wote ni wahitimu wa vyuo/taasisi nyingine. Kama waliweza kufaulu huko walikotoka iweje...
Zamani wahitimu wote wa kidato cha sita, walikuwa wanalazimika kutumikia JKT. Siku hizi nasikia sio wote wanashiriki. Swali langu ni kwamba vigezo gani vinatumika kuteua nani waende JKT na nani wasiende?? Pili, faida gani anayoipata kijana kwa kwenda kutumika JKT, au ni hasara gani itayompata...
Tuna mfumo wa kodi ambao ulibuniwa kipindi Taifa linajenga uchumi wa Kijamaa. Kutumia mfumo huo huo kipindi hiki tukiwa katika mfumo wa Soko huria, ni kama kuingiza "a square peg in a round hole". Tunahitaji kufumua mfumo huu wa kodi na kubuni ambao unafanana na malengo yetu ya kiuchumi kwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.