Recent content by buzi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Nilitaka/niliandika maneno mabaya Sana kuhusu Dini yako, Kwabahati mzuri Niliikumbuka familiya ya jirani yangu jinsi tunavoishi kwaupendo, kusaidiana, Pia hata Huo upande wa uchinjaji unaosema, Mimi ndio mchinjaji wake, Kuku wake mwenyewe kanunua kwapesa zake mwenyewe lkn Mimi ndio Namchinjia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Goodluck Haule, Maria Sarungi, wampaisha Roma Mkatoliki na Wimbo mpya “Naitwa Roma”

    Uliambiwa nanani ukiishi ulaya unakua mwandushi mzuri Tambua pia Kuna baadhi yawatu wamezaliwa ulaya hawajui kusoma Wala kuandika
  3. B

    JamiiForums Tanzania Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Hilo lakitandani linatosha hayomengine simuhimu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Boyfriend wangu ni mchafu sana

    Ungefanya Jambo lamaana km unge muosha/kumsafisha kuliko kupoteza Muda humujukwaani kumzaririsha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

    Udiniwake upi mkuu fafanua bac
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa kwa huduma za kifedha na kibenki toka Falme za Kiarabu kuja Tanzania

    Sio falme Za kiarabu tu hata huku South Africa pia Kuna huduma ya hello pesa imesitishwa kwa muda tangia juzi nimepokea sms
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jiji la Tanga lina watu ambao hawapendi kabisa kufanya kazi ngumu

    Fursa hiyo kabike Kazi acha kulalamika km unatolewa bikra
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 31 wagunduliwa kwenye lori Ufaransa

    Jiulize Kwanza kwann marekani kakimbilia ktk nchi zakiisilamu kuweka kambi kwani nchi zakikristo hazipo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 31 wagunduliwa kwenye lori Ufaransa

    Kwani Hakuna wazungu wakristo walio kimbilia nchi Za kiisilamu Km WaPo kwann usianze kuwauliza Hao?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 31 wagunduliwa kwenye lori Ufaransa

    Unazingua kijana hii tambua Dunia haiwezi kuwa Sawa kila mtu anaangalia kwenye fursa ndio anakimbilia km walivyo baadhi ya Africa wanakimbilia ulaya pia baadhi yawatu ulaya wanakimbilia Africa kila mmoja kwake anaona fursa IPO Kwa upande wa mwingine Mzungu anakimbilia Africa kuwekeza Mwafrica...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kufanya haya mbele ya mpenzi wako basi wewe ni jini

    Mbona hiyo ndogo kabisa
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kundi la Watanzania lakamatwa na madawa ya kulevya Italy

    Ajali kazini
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama unafikiri umepatwa na mitihani mikubwa hebu mfikirie mwanafunzi huyu

    Huyo binti anatakiwa aandaliwe wataalamu wasaikorojia ndio wampe taarifa Bila yakufanya hivyo Kuna uwezekano mkubwa wakumpoteza nayeye kulingana nataarifa atakayofikishiwa Napia itakua vizuri apewe taarifa akiwa hospitali au karibu Na hospitali ili lolote Likitokea iwe Wepesi kupata msaada...
  14. B

    JamiiForums Tanzania AMERIKA KUSINI: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapitisha pendekezo la kuwa na Mapadri walooa

    Afadhali watapumzika kufirana
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mume wangu, nimechoka kukusubiri

    Unazingua
Back
Top Bottom