Kama ulishawahi kufanya haya mbele ya mpenzi wako basi wewe ni jini

NI KWAMBA.
1.Kama ulishawahi kushusha haja kubwa chooni mbele ya mpenzi wako anakuangalia basi wewe ni KUBWA LA MAJINI.

2. Kama ulishawahi kumruhusu mpenzi wako akusafishe tigo baada ya kujisaidia haja kubwa chooni basi na wewe pia ni KUBWA LA MAJINI.

3. Kama ulishawahi kujisafisha tigo mbele ya mpenzi wako baada ya kushusha mzigo( haja kubwa) basi jua kabisa una approach kwenye ujini.

4. Kama ulishawahi kujamba kwa makusudi kabisa mbele ya mpenzi wako basi jua kabisa una elements za ujini.

Katika jamii za kijadi hayo ni mambo magumu sana kuyafanya mbele ya mtu yeyote yule isipokuwa kama umetokwa na akili kidogo.
Aisee umewaza nini Dogo?/
 
MAGALLAH R, Jee kama ulishawahi kumpa 7800 kwa ajili ya nauli Dar - Mkoani?
Kuna roomate kipind tuko chuo alimpa 850 za change(alizikusanya kutoka kwa draw ya locker) dem wake tukiwa room aende kula dinner, tulicheka kinoma tukamwambia hata sie tungekuwa madem tungempiga kibuti....2 weeks later tukamkuta dem yuko na mnyamwez mwingine wakipata msosi restaurant ya kishua town, tukamwambia mwana akashukuru tu kiroho upande jamaa mchumi balaa sie tulimwita Lipumba kwa taaluma yake. Sasa MAGALLAH R huyo tunamwitaje kwa lugha ya kijini?...😂
 
Back
Top Bottom