Wahamiaji 31 wagunduliwa kwenye lori Ufaransa

Wahamiaji 31 wagunduliwa kwenye lori Ufaransa

Hivi kwa nini wasikimbilie Oman,Qatar,United Emirates au Saudi Arabia ? Kwa nini wanakimbilia Ulaya ? Wakati Oman maisha mazuri kuliko France ?
Jiulize Kwanza kwann marekani kakimbilia ktk nchi zakiisilamu kuweka kambi kwani nchi zakikristo hazipo
 
Hasa viongozi wao ndio wanafiki wakubwa, wakiwa kwao uwadanganya wanao waongoza kwamba makafiri na elimu yao ya magharibi ni watu wa jehanamu.
Lakini ajabu ni kwamba hao viongozi wao uwapeleka watoto wao Ulaya kwenda kusoma kwa makafili ili wapate elimu bora, na isitoshe pia wao wenyewe ukimbilia Ulaya kwenda kutafuta maisha bora.
Unazo taarifa cag amestaafu? (professor ASSAD)
 
Unazingua kijana hii tambua Dunia haiwezi kuwa Sawa kila mtu anaangalia kwenye fursa ndio anakimbilia km walivyo baadhi ya Africa wanakimbilia ulaya pia baadhi yawatu ulaya wanakimbilia Africa kila mmoja kwake anaona fursa IPO Kwa upande wa mwingine
Mzungu anakimbilia Africa kuwekeza
Mwafrica anakimbilia ulaya kufanya Kazi
Kwahiyo usishangae mpakistani kukimbilia ulaya
Huwenda atawewe pia mkoa, Kijiji,/nchi uliyokimbilia kutafuta rizki hukuzariwa hapo.
Rudi kwenye imla. Ulichoandika hakieleweki.
 
Back
Top Bottom