Brother, hapo ndo nashindwa kukuelewa.
Tunajua kabisa tuna dili na sifuri gawanya kwa sifuri, numerator na denominator zote zinajulikana, sasa utasemaje tena "kulingana na nature ya numerator na denominator"? Nature si ushaijua kaka? Ambayo ni sifuri juu, sifuri chini, sivyo?