Wala hata haotegemei demand na supply bali kitu kikubwa ni performance yao sokoni ikitegemeana na financial strategy walo jiwekea.
Ukiona hisa imeshuka bei ujue either ni strategy yao ili kuweza kukopa hela nying frm the public kufinance operations zao ama ni failure to achieve their goal
Ila...
Kuna mtu yeyote katika familia alishawahi tekwa???
Au basi tufanye kweli ni gaidi, je mwizi alieiba Mabibo ndo huyo huyo atakeyekuja kuiba kwenu kwenu kawe au mbagala???
Kua na akili na acha bangi coz itakuletea matatizo akilini
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Aisee mjamaa sidhani kama hiyo clip ni ya Tanzania!
Kiukweli inachekesha na kutia uchungu sana!
Siwez amini kama kweli kuna mtu mweusi anaeweza fanya unyama wakupitiliza kiasi hiki!
Cha ajabu zaidi kundi kuubwa la watu hakuna hata mmoja alie jaribu kuwazuia hao jamaa!
Ila kikubwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.