Lwakatare aizika rasmi M4C

Lwakatare aizika rasmi M4C

Status
Not open for further replies.
haa mkuu kuwadaa tena nani kasema CDM NI SAUTI YA MUNGU WE UNAPINGANA NA MUNGU.ila usijali si unajua mungu wetu ni wa ajabu sana amekuongezea muda wa kuhama kuja kwenye chama chake hadi DEC 2014.
 
CHADEMA chali! Na hukumu ikitoka ikathibitika ni magaidi ndiyo tutawaokotea bonde la msimbazi.

Mkafanye kazi halali kuliko kuja kujificha CHADEMA kwa kivuli cha chama cha Siasa.

Natumaini babako na mamako wanajua sasa kua sio gaidi!
Kafie mbele

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Natumaini babako na mamako wanajua sasa kua sio gaidi!
Kafie mbele

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ha! Ha! Ha! Ha! Umemkomesha huyo Sumu , safi sana ! maana kila mtu atakumbushwa upuuzi wake wa siku za nyuma !
 
Kwa hiyo katika kufikiria kwako kote ndo jambo ulilogundua Duh maCCM mnashida wewe lazima ni moja ya mafisadi!
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
 
cdm tunapangua kila mbinu ya kishenzi ya magamba ili kutufedhehesha mbele ya wananchi waelewa wa tanzania. Allah subhanallah uwatallah atakuwa upande wetu milele.
 
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.

[h=2]Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi[/h]
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.

Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.

Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.

Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.​

Last edited by Molemo; Today at 11:25.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Umemkomesha huyo Sumu , safi sana ! maana kila mtu atakumbushwa upuuzi wake wa siku za nyuma !

Mkuu ilibidi nijiunge kwenye ligi yake ilituweze kuelewana!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom