GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Wapendwa wana MMU ninayo furaha na Faraja kubwa kuwafahamisha kuwa
Mke wangu kajifungua salama Saa 12 asubuhi hii, nilitamani sana mtoto wa
Kike lakini kaja wa kiume, Yote kwa yote nimefurahi na Namshukuru sana Muumba
kwa kile alichonijalia huenda ni bora kuliko nilichotamani.