Recent content by Bunju one

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

    Nimepata kitambulisho cha nida
  2. B

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars wakitua Airport wachapwe viboko kwa kuaibisha nchi

    Hamsemi madhaifu ya kocha, tena muuwa ache, kafungwa italy itakuwa tz. Hamuoni km tunasonga mbele.??? Kufunwa ni matokeo!!!!!!! Eeeeeehhhhh.we mwanao akitoka shule, kila siku kapata biyee biyee biyee , utatathmin vipi kiwango cha elimu ya mwanao?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

    Huna akili wewe, ccm inakujaje hapo. Kila mtu ana starehe yake, ndio mana wengine tunatoka kuangalia game now , wewe cc tumefurahi vjana walivyopambana , unatuletea tena siasa hapa ? Boya wewe kumm Nma
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

    Njombe to Ludewa zege tupu hongera kwake
  5. B

    JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Rais Magufuli: Ni maajabu tupu kwenye miradi ya barabara

    Elitwege, Njombe— Ludewa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wadada hapa huwa hamna tofauti na wanaojiuza

    Magufuli katufanya wote tupate raha. Wewe unaeona 10000 ndogo, nyie ndio mlikuwa mnahonga hadi ss maskini tulipata shida kupata watoto wazuri. Ukitongoza demu anakuuliza unafanya kazi gani? .Ila kwa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Hapa kazi mtaji mashine , ukimkuna vizuri hata yeye anafunguka ili asikupoteze...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

    Amennn!! , sema amennnnn😂😂😂😂😂😂😂😂 mchungaji mgogo bwana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

    Nipokeee next week pls
  9. B

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tupo likizo kidogo, tumeacha KARMA iendelee na majukumu yake.

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤣🤣🤣🤣
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Ole wake Mwana-CCM atakayetumia upumbavu wa wapumbavu unaoendelea hivi sasa ili atafute ‘kick’, tutapambana naye

    Bashiru ushaanza kuvaa viatu, mana all time we ni open shoes. Hongera katibu ila hao ndio washauri wako. Life goes on
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jeshini, TISS, Zanzibar etc...ukweli ni kwamba kote huko fukuto ni kubwa kuliko haya tunayoyashuhudia

    Igweeeeeee, Mambo ni mengi mda ni mchache. Wacha kuni ziwake . Acha vyuma vizoeane. Kuoa mwanamke aliyezeeka ni sawa na kununua gazeti jioni
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Mungu azidi kukusimamia na hujawahi yumbishwa na jambo lolote, Kiongozi anachaguliwa na Mungu. Pumzika kusanya nguvu kwanza walikuwa wanakuchosha . Fanya mazoezi pumzika mapambano bado yanaendelea,Umri unaruhusu, vijana tupo nyuma yako. Maisha yanapita,kulala njaa siku moja sio kufeli...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu Makamba na Kinana ni wasafi?

    Wewe tulia huna wazazi kwenu?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Baraza la viongozi wastaafu wa CCM

    Mnhhhh hawa wazee wakikuweka kati hutoki
Back
Top Bottom