Wazee wetu Makamba na Kinana ni wasafi?

Wazee wetu Makamba na Kinana ni wasafi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,702
Reaction score
17,188
Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.
 
Mku hata wasipokuwa wasafi watanzania wanahitaji umoja wa kitaifa na hilo ndilo moja ya dhumuni lao.
 
Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.

Kwavile sio wasafi ndio haki yako kuwatukana?

Na Jiwe msafi?

Na wewe msafi?

Get tha fvck outta here!
 
Kama katiba, serikali na CCM vingekuwa na taratibu za kushitaki viongozi wake wakuu waliofanya makosa wakati wakiwa madarakani Wazee Makamba na Kinana wangekosa tuhuma zinazoweza kuwafikisha mahakamani?

Ni wasafi Kwa kiasi gani?

Awamu zilizopita kulikuwa na mazuri na mabaya Kwa taifa yalitokana na tabia au maamuzi ya viongozi wakuu, je, ni kweli wazee wetu hawa hawana baya lililostahili kwenda mahakamani?

Ni kweli wamechafuliwa? Kwanini mkondo wa kisheria haufuatwi 'kumuadhibu' Bw. Musiba? Nani alikatazwa na nani kufungua kesi mahakamani dhidi ya Musiba?

Hii inakoelekea inafungua ukurasa mpya wa kufukua makaburi ya viongozi waliopita. Pia inatuonyesha kuwa katiba yetu unahitaji kufanyiwa maboresho makubwa Sana angalau ifanane na South Africa.
Kabla hujaulizia wazee uliza magu ni msafi?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
MUSIBA NI JANGA!
Endeleeni kumlea nyie 'ccm wageni'
Mkianza kufukua makaburi,hakuna atakaye salia.
 
Kuwa wachafu hakuhalalishi kutukanwa angali mahakama zipo
 
kama ndivyo ilivyo basi viongozi wote waliopo madarakani na waliokuwepo awamu zilizopita hakuna msafi hata mmoja.. viongozi wa chama kikongwe ndo wametufikisha hapa na nionavyo mimi anaeiweza nchi hii ni mtawala ambae hajawahi kabisa kuwa ktk mfumo wa chama tawala na serikali means dat labda atoke nje ya nchi atuwe leo
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Jpm sio kichaa inavyoonekana hawa wazee kuna kausnitch wanakafanya
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Yako matendo yaliyofanywa na wastaafu wetu ambayo adhabu zake ingekuwa labda kifungo cha maisha jela au kunyongwa hadi kufa, lakini katiba yetu na CCM ndo vinatuelekeza kusikofaa kwa kigezo cha "scratch my back I will scratch yours". Maovu yote yanafichwa kwenye begi la umoja, mshikamano, na utulivu. Hebu fikiria twiga nzima alikuwa anapanda ndege mchana kweupe airport, mikataba mibovu ya madini na umeme, ukwepaji kodi, upigaji na ufisadi, wafanyakazi hewa lakini vyote hivyo wazee wetu wastaafu walioyaongoza hayo wako salama salimini kabisa kwenye mahekalu Yao ya kifahari na kifisadi as if nothing happened.

Haiwezekani awamu ya tano bado ihangaike na kupatia watu maji, umeme, barabara,

Katiba hii inayotegemea utashi na uthubutu wa kiongozi husika haitatufikisha kanani
 
Kufukua makaburi hakujawahi kumwacha mtu au Taifa salama, ndio maana kwa wenye akili hufikia maridhiano na baada ya hapo wanaanza maisha upua.Ukianzisha utatatibu wa kufukua makaburi nawe ukitoka madarakani wanafukua LA kwako
 
Nimemtukana nani?

Alietukanwa na akafungue jalada!
Nimemaanisha kuwa wazee wetu wanadai kijana anawatukana lakini hawakuona busara ya kwenda mahakamani kushitaki kutukanwa huko. Wao pia wanafahamu kuwa kutukana ni kosa kisheria. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?

Wazee hawa wanajaribu kuiambia jamii kuwa wana uhakika wa 100% kuwa mahakama zetu haziko huru, hawawezi kutendewa haki huko. Kama wao hawana Imani na mahakama zetu Sisi wa kawaida tuliobaki itakuwaje?

Wazee wetu hawa waligundua lini kwamba mahakama zetu hazitaweza kumhukumu Musiba Kwa kosa la kutukana wazeiya?

Uhuru huo wa mahakama uliaza lini kupotea? Nami ameupoteza kwenye awamu ipi ya utawala?
 
Nimemaanisha kuwa wazee wetu wanadai kijana anawatukana lakini hawakuona busara ya kwenda mahakamani kushitaki kutukanwa huko. Wao pia wanafahamu kuwa kutukana ni kosa kisheria. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?

Wazee hawa wanajaribu kuiambia jamii kuwa wana uhakika wa 100% kuwa mahakama zetu haziko huru, hawawezi kutendewa haki huko. Kama wao hawana Imani na mahakama zetu Sisi wa kawaida tuliobaki itakuwaje?

Wazee wetu hawa waligundua lini kwamba mahakama zetu hazitaweza kumhukumu Musiba Kwa kosa la kutukana wa wazeiya?

Nikajua ume-stick into your guns on me...

I’m so paranoid....

Jiwe’s regime is so depressing on me!

Sorry hommie!
 
Back
Top Bottom