Recent content by Bumpkin Billionare

  1. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni Arusha

    NImeshakuelewa, unataka short time. Nenda Polopolo G.H ipo Kijenge Mwanama
  2. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Sitakula sahani moja na mafisadi

    TUHUMA? Utungaji sio fani yako
  3. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Searching................
  4. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    African Church of Tukunyema
  5. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Dry roooooooooot!
  6. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake weupe ni weusi kwenye sehemu zao za siri?

    Shida yako wewe umeangukia kwa WALIOJICHUBUA, weupe wewe hujakutana nao bwana mdogo. Nenda Marangu ukapewe kitu full white, achana na akina Mwamvita wa Kigogo
  7. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Mpwapwa watibiwa chini ya mti

    Sababu zinazowapa nguvu CCM katika maeneo hayo, ndio hizo hizo zinazowafanya watibiwe chini ya miti = U J I N G A
  8. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Kwa upuuzi huu wa Abdallah Majura, kwanini Halima Mdee asizidi kuwa mbunge wa ukweli Kawe?

    Sio KULUDI ----- wewe, sema KURUDI. Kwa mtu wa akili na uelewa wako ili mbunge awe wa maana analazimika kuwa anawatembelea nyumbani kwenu wakati a mfungo na kuwapa futari. Tunataka wabunge wakali wanaotoa hoja nzito bungeni sio kutuahidi barabara. Serikali yoyote makini lazima ijenge barabara...
  9. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    Akili yako imeishia hapo?
  10. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Mji wa Geita wasimama, Maelfu wampokea John Magufuli akiwa njiani kuelekea Chato

    Hiki kinachofanywa na CCM kikifumbiwa macho na NEC huku wazee wa INTELIJENSIA nao wakiwa kimya kikifanywa na upinzani hakitaitwa KAMPENI KABLA YA MUDA? Siasa si kazi yangu, wasiwasi wangu amani yetu kama Taifa. Wenzetu wanaopigana hawakuzaliwa na wrinkles, n matokeo ya double standards na uonevu.
  11. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Je Lowasa atahuddhuria Iddy kitaifa Geita!?

    Thubutu yake, sasa hv atokee bodaboda amuombe awanunulie reflector aone, ndio atajua babu naye anajua kutukana
  12. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Usafiri gani unakufaa hapa?

    Lamborghini Countach
  13. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu -kama huna roho ya paka usifungue

    Photoshop ni ugonjwa?
  14. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania Namba 0800757575 ya kuripoti ajali, ni usanii

    Bora tuwe tunazingatia maelekezo
  15. Bumpkin Billionare

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ni tawi la Kanisa

    Wewe Shiite au Sunni?
Back
Top Bottom