Namba 0800757575 ya kuripoti ajali, ni usanii

Namba 0800757575 ya kuripoti ajali, ni usanii

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,901
Reaction score
14,611
Hii namba imetolewa ili kusaidia kupunguza ajali kwa wale madereva korofi.
Hebu ijaribu uone kama inapatikana!! Halafu tupe mrejesho.

Hapanshaka imeonekana hailipi...

Pesa mbele ntu nyuma
 
Back
Top Bottom