Usafiri gani unakufaa hapa?

Usafiri gani unakufaa hapa?

Ahaha ivi akiachia mikono bado itaenda????!

Kuna mtu alishafanya huu mchezo.......kwenye baiskel.........mikononi kavaa saa na bangle........ktk mbwembwe bangle na saa vikashikana.......mikono ipo nyuma baiskeli ipo mwendo.......mbele semi nusu kichwa imeachiwa..........kilichotokea.......

ooooh......RIP sifaman...........
 
Nikifika hapo, kwenye accelerator naweka jiwe gari ikiwa gear namba tatu, halafu mimi na shemeji yenu tunahamia siti za nyuma!
 
Kuna mtu alishafanya huu mchezo.......kwenye baiskel.........mikononi kavaa saa na bangle........ktk mbwembwe bangle na saa vikashikana.......mikono ipo nyuma baiskeli ipo mwendo.......mbele semi nusu kichwa imeachiwa..........kilichotokea.......

ooooh......RIP sifaman...........

Ayaaaaaaaaa nimejaribu tu kuvuta picha nikajihisi mi ndo napata hiyo ajali! gademu...
 
Barabara mbaya sana hii,sababu ni kuwa uendeshaji wakati wa usiku ni shida kwa sababu ya taa za magari kuwa kali sana zinamulika dereva machoni tahadhari inatakiwa sana hasa usiku ukizingatia magari ya siku hizi mwanga wa taa ni mkali sana labda iwe kwa ajili ya shughuli maalum kama mbio za magari.lakini kwa matumizi ya public haifai.Pili ni kuwa baada ya mapungufu haya kuonekana ndiyo sababu barabara za siku hizi zinatengenezwa kwa mzunguko(meandering) ili magari yasiwashiane taa kwa muda mrefu vilevile kupunguza mwendo kasi kwani hujui utakachokutana nacho katika kona inayofuata au utauona mwanga wa taa kwa pembeni kabla ya kuifikia kona.
 
Hapo mguu unakanyaga kibati mpaka mwisho kama nipo hvi kwenye hyo road raha sana ni full kuwapangua makobe mbele....
 
Back
Top Bottom