tatizo sio wananchi apo lupeta ata halmashauri inashida ukiangalia budget yake ya maendeleo inachangia 4% kwaiyo ili kupeleka maendeleo huko wanategemea busket fund ndio kitu kinachochelewesha maendeleo ktk wilaya ya mpwapwa. pili upinzani tanzania bado wanachagua maeneo kupeleka harakati mfano chadema mpwapwa imejaa matapeli tu hakuna mtu serious, pia wagombea vijana wengi sio wakazi mpwapwa wengi ni wasaka vyeo wakipata ulaji makazi yao dar
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo: ITV habari
Ndio wajipange.........wasifanye kosa tena katika uchaguzi.......la sivyo wataenda hivyo miaka 100 ya uhuru..........
Acha tu watibiwe si wanajifanya hawana akili wala kuona ccm inavyowanyanyasa! Siku hilo limti litakapo wadondokea watakua na akili.
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo: ITV habari[/
wakijengewa Zahanati hivi sasa watasifia serikali kama wanavyosifia serikali wananchi wa Kiteto kwa kupata Lami kwa mara ya kwanza
Mkuu kulaumu upinzani eti chadema wanawabagua siyo kweli,kwanini wasijaribu waone
kaka sio kama nalaumu upinzani ila najaribu kutoa picha hali ilivyo mpwapwa kwa sababu wapinzani wenyewe hawajaonyesha ule serious wa kutaka kufanya mabadiliko mpwapwa nilifika mpwapwa mwaka jana nikaambiwa mwenyekiti wa cdm sio mtu mwenye ushawishi mkubwaa nikashangaa kwanini yule katibu mwenezi taifa bwn kigaila asiwe ndio wa kuongoza harakati mpwapwa wakanijibu kigaila kahamia dodoma ndio maana nasema mpwapwa hakuna upinzani serious
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo: ITV habari[/
wakijengewa Zahanati hivi sasa watasifia serikali kama wanavyosifia serikali wananchi wa Kiteto kwa kupata Lami kwa mara ya kwanza
Duuuu,mkuu hii ni hatari sijui mvua ikinyesha hali inakuwaje na mbunge wao yupo anawapita kwa vx lake na kuwapungia mkono.
Mkuu kulaumu upinzani eti chadema wanawabagua siyo kweli,kwanini wasijaribu waone
sio nalaumu upinzani ila nawashangaa kwa sababu nilienda mpwapwa kwenye shughuli zangu mwaka jana nikakuta upinzani hauna nguvu kwa sababu ya kukosa watu serious mfano yule kigaila katibu mwenezi taifa naskia ndio kwao huko lakini amejikita zaidi kwenye siasa za kitaifa lakini anashindwa kwenda kuhamasiasha vijana katika eneo lake ndio maana nasema upinzani ni kama matapeli tu wenyewe wanaangalia sehemu zinazoonekana hawataki periphery
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi mzuri ulioshiba,sasa unafikiri hao wananchi watajikomboa kweli kwa kuendelea kumtegemea huyo mbunge wao bila kupata chachu ya upinzani?maana hapa tunajaribu kuangalia hali halisi ya watu hao.
kwa jinsi nilivyowaona wananchi wana ari ya mabadiliko ila tatizo hawajapata mtu sahihi wa kuleta hayo mabadiliko mi naamini kwa hali ilivyo hapo hakuna mwananchi anayefurahia pia kama umesoma vzuri comment yangu nimesema halmashauri inachangia 4% ktk budget yake fedha zingine wanategemea kutoka mfuko wa maendeleo kwaiyo nadhani unapata picha ya hali ya uchumi ktk halmashauri yao
Tanzania hii kuna watu wanashida sana lakini viongozi wetu tunao wategemea wanagawana mabilioni wanaenda kuficha ulaya wakati wananchi wake wanatibiwa chini ya mti
Hahahahahhaha....nimeona aisee,nikacheka sana...halafu kama umegundua nchi hii sehemu ambazo ni ccm wanatawala nakuwa na nguvu kubwa ni maskini sanaaaa,yaan sanaaa
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo: ITV habari