Je Lowasa atahuddhuria Iddy kitaifa Geita!?

Je Lowasa atahuddhuria Iddy kitaifa Geita!?

Ha haa wacha kumbeep mzee! Wale wafuasi sahivi wanamkimbia. Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Geita Joseph kansheku maarufu kama king Musukuma. Sipati picha akimuona maana tayari amemkana lowassa na kusema anaungana na magufuli make ni ndg yake.
 
Lowassa sahivi si chochote tena kwenye nchi hii soon hatasikika tena kwenye mitandao ya kijamii kama hapo awali kabla ya kuwania urais na kabla ya hapo pia.
ZILIPENDWA!!
 
lowasa bado anamfunika slaa kwenye mitandao,huyu slaa si watamsahau sasa watu...
au itabidi aanze kujitambulisha upya...
maana zimebakii wiki tatu kampeni zianze na bavicha wameng'ang'ana kumpaisha lowasa,lowasa....
 
Thubutu yake, sasa hv atokee bodaboda amuombe awanunulie reflector aone, ndio atajua babu naye anajua kutukana
 
Back
Top Bottom