Recent content by BukuTatu_AlfuTatu

  1. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa distance ile ni mara chache sana salah kufungia Right Foot.
  2. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huyo Kerkez anavyoingia Uvunguni kmmke atakuja kuramba red huku bado muda unamhitaji😅 Ila fresh kazi iendelee Hakuna kudeka
  3. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mafanikio ni yetu duniani ila kifo ni rafiki mnafiki na msiri anayeshinda na sisi asubuhi, mchana na jioni hata usiku tukipumzika ,forever in our memory Diogo jota.💔🙏
  4. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Brother inaweza tumika in two ways either mdogo wa kiume au kaka mkubwa. Mfano mdogo wako wa kiume unamwita young brother kwenye utambulisho au partially katika mazingira mengine unaweza kumcall brother.
  5. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ndo tabu ya watu kujua mpira ukubwani... kitimu mafanikio kimeyapata miaka 10 nyuma kejeli nyingi sasa si mwehu tu huyo.
  6. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Haya madubwasha sio ya kuyajibu unayaacha tu
  7. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    VVD ana misimu mingapi mpaka hapo alipofikia salary increase??
  8. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ana makosa kibao tujiulize kwann anahamishwa hamishwa mara CB mara CM hadi kapoteana
  9. BukuTatu_AlfuTatu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    hakuna kitu kama hicho wametumia mpaka uroto umekauka halafu tumchukue?! Never
  10. BukuTatu_AlfuTatu

    Hii kolabo ya kijasusi kati ya mama na binti zao inakatisha sana tamaa vijana waoaji

    both team to score and either team to win. mama na mtoto= Tabora United best yako= Utopolo
  11. BukuTatu_AlfuTatu

    Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

    Alaf jamaa hajachapa Kazi mbovu yaani.. zote mali safi🔥😁😁
  12. BukuTatu_AlfuTatu

    Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo?

    Tairi ya V8 lina mzingo mkubwa kuliko ya Passo speed sawa ila V8 itatangulia plus ukubwa wa Injini.
Back
Top Bottom