Recent content by Bukirilo

  1. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Kwa akili za Rais tuliyenaye na mahusiano aliyonayo kwa Chivayo sishangai hata kidogo ,
  2. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Achana na wanawake wa kichaga kuna hawa wanawake wa kisukuma( wanyantuzu) hawa mmmmh hatari sana

    Wasukuma wanyantuzu hawauwi wanaume kisa mali , wanadharau sana , wapenda ushirikina sana hasa kwenye kutafuta mali wako radhi kuua , wanapenda wanawake weupe na wanaweza kukufanyia ubaya na usijue kama ni yeye maana anakuoneshea upole kumbe mbaya sana , kingine wanatabia ya wivu anaweza...
  3. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Nimekuelewa Mkuu
  4. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu siyo mlaini kama alivyo Chongolo

    Nyie ccm acheni kudhalilishana . Ni vile mwenyekiti wenu kalala pono ,hii sio sawa kabisaaa
  5. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Maskin kijana wa watu hakuwa na kosa lolote !! Et kukemea mauaji, rushwa , kutaka utawala bora ,katiba mpya , kuzuia kutekana na kupenda demockasia ndiyo kumemponza .... ila kaondoka hana damu mikono yake iko salama mimi ninamuombea sana kijana huyu mzalendo wa kweli aliyeipenda nchi yake
  6. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Ujio wa EL NINO....

    Hakuna cha El nino wala nini , tulishazuia mvua katika jina la YESU wa nazaleth aliye hai
  7. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Kuondoka kwako ni majuto tosha ...Anza kujipanga mapema kama kujenga nyumba kwa siri , kuwekeza ki biashara kwa siri, then fatilia taraka mahakamani kama umedhamilia kuondoka , kuwaacha watoto ni kujitengenezea mazingira ya kurudiana baadae na unahisi watapa malezi mazuri kweli ? Pole sana .
  8. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

    3
  9. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    Ukiona mtu anapiga hesabu za hivi ujue hana elimu na pesa ... Elimu ni msingi mzuri wa mtoto , hata uwekeze utajiri mkubwa kiasi gani kama mtoto hana elimu atauza vyote kwa siku moja tu kwishaaaaa. SOMESHA MTOTO
  10. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Alphonce Muyinga: Lazima tujue nani alihusika, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili matukio ya Oktoba 29, 2026

    Njaa ikihamia kichwani unajikuta tu unaongea uhara kama huyu Alphone mavi
  11. Bukirilo

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Hapa lazima atakwenda kuomba radhi kwa kutoa maneno yenye kumuudhi malkia ,
Back
Top Bottom