Hiyo bapa!imenikumbusha ka party fulani ka locals wasukuma nikikaribishwa aiseh!kumbe Bado mwili wangu unaweza fyinza vitu vizito!!At least nimepata kampani.. View attachment 3651830
Shee uko wapi nije nikucheke?Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,..
Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka charge lakini haikufika mwisho
Kwa njaa na hangover nilivyokuwa navyo nikakimbilia jikoni kuona kuna nini cha fasta lakini nikaishia kujijigonga kidole c cha mwisho cha mguu kwenye pembe ya meza kwa nguvu kiasi cha kusikia mlio masikioni na kuona nyota za kila rangi..😂🥱
Maumivu yalipopoa njaa nayo ikawa imetoweka.. Nikajiandaa fasta na kukimbilia kwenye gari
Ile nafika kwenye gari niligundua nimesahau funguo za gari mezani,
Nikarudi chap nikazinyakua na kutoka nduki... nilipofika barabarani, foleni iliamua kunikalia kooni maana taa zote zikawa nyekundu kwa pamoja...😂 kabla ya kupigwa na tope zito la lori lililopita kwa fujo wakati kioo changu kikiwa wazi nusu.
Mkosi haukuishia hapo kwani nilipofika ofisini nikiwa nimenyeshewa kama kitambaa cha kufutia sakafu, niligundua nimesahau funguo za ofisi nyumbani😚
Ikabidi niache gari nikimbie home na boda.. Kufika home kumbe nimesahau funguo za nyumbani kwenye gari..
Kwa kifupi ni kwamba hakuna hata kitu kimoja kilichokaa sawa leo.
Kazi imeshindikana na mipango ya leo imefeli kabisa..
K inachofuata ni kusahau haya yote na kusubiri kesho tena.!, kwa sasa nipo zangu hapa just karibu na home napata mtori na chapati 2.. Kisha nishushie na mbili tatu za baridi sana ili kupoza akili na kurudisha mawazo sawa.
Kama upo karibu jongea.. Favourably jinsia kinzani😋View attachment 3651805View attachment 3651806
Mtori ndio ulitangulia.. Niko Goba kwa Ndambi hapa mkuu.. Kijiwe kimeshaanza kuchangamka jongea tuu,🤣Mbona hakuna mtori au mtori WA siku hizi UNAKUWA mwekundu jmn au macho yangu,
Mkuu nipo kibanda cha mkaa hapa tatzo mi ni dume jmn
Ukiachilia mbali weweKuna mtu atasema...
CHAI
Kiongozi pole sana, bila shaka mambo yatakaa sawa na tuombe kidole kiwe hakijapata madhara makubwa.Nitamualika ainywe.. Nitampa na location😀
M'U Mmm'. Umesahau au umechanganya forumulaa! Ungeanza siku kwa kuoga chumvi ya mawe halafu huo mtori achana nao; pata kitu kitakatifu kitimoto chap' uone kama siku haitakuwa mwemere'mwemere na siku itakaa sawa kwako.Nadhani leo ilikuwa ile siku ambayo ulimwengu ulikuwa na mpango maalum wa siri wa kunitesa,..
Kwanza Leo nimeamka kww kuchelewa Sana.. Nakujq kucheki simu iko low charge.. Kumbe jana nilichomeka charge lakini haikufika mwisho
Kwa njaa na hangover nilivyokuwa navyo nikakimbilia jikoni kuona kuna nini cha fasta lakini nikaishia kujijigonga kidole c cha mwisho cha mguu kwenye pembe ya meza kwa nguvu kiasi cha kusikia mlio masikioni na kuona nyota za kila rangi..😂🥱
Maumivu yalipopoa njaa nayo ikawa imetoweka.. Nikajiandaa fasta na kukimbilia kwenye gari
Ile nafika kwenye gari niligundua nimesahau funguo za gari mezani,
Nikarudi chap nikazinyakua na kutoka nduki... nilipofika barabarani, foleni iliamua kunikalia kooni maana taa zote zikawa nyekundu kwa pamoja...😂 kabla ya kupigwa na tope zito la lori lililopita kwa fujo wakati kioo changu kikiwa wazi nusu.
Mkosi haukuishia hapo kwani nilipofika ofisini nikiwa nimenyeshewa kama kitambaa cha kufutia sakafu, niligundua nimesahau funguo za ofisi nyumbani😚
Ikabidi niache gari nikimbie home na boda.. Kufika home kumbe nimesahau funguo za nyumbani kwenye gari..
Kwa kifupi ni kwamba hakuna hata kitu kimoja kilichokaa sawa leo.
Kazi imeshindikana na mipango ya leo imefeli kabisa..
K inachofuata ni kusahau haya yote na kusubiri kesho tena.!, kwa sasa nipo zangu hapa just karibu na home napata mtori na chapati 2.. Kisha nishushie na mbili tatu za baridi sana ili kupoza akili na kurudisha mawazo sawa.
Kama upo karibu jongea.. Favourably jinsia kinzani😋View attachment 3651805View attachment 3651806
Utakuwa mtabiri mzuri Sana😂M'U Mmm'. Umesahau au umechanganya forumulaa! Ungeanza siku kwa kuoga chumvi ya mawe halafu huo mtori achana nao; pata kitu kitakatifu kitimoto chap' uone kama siku haitakuwa mwemere'mwemere na siku itakaa sawa kwako.
Hii kitu sio mchezo. Ni mujarabu sana - Inafaulisha 100%.Utakuwa mtabiri mzuri Sana😂View attachment 3651882
Si umeonaee.Inasafisha nyota pia
Eee mimi simo...😆Ukiachilia mbali wewe
Mshana kashazeeka na hajui"niligundua nimesahau funguo za ofisi nyumbani,
Ikabidi niache gari nikimbie home na boda.. Kufika home kumbe nimesahau funguo za nyumbani kwenye gari"..
Utajua hujui!!!!! 😁😁