Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,493
- 108,831
Wewe kumbe ni mtu wa kuhadithiwa tu na vistory vya kuungaunga tu.Sasa na hiyo mistari ambayo Sugu anamsalute Pina
Ilikuwaje?
Acha hizo sugu wakati analinda Petrol station alikuwa anakaa nyuma ya mwanamboka
Sugu mwenyewe anamkubali Pina ijekuwa wewe
Jose hajawahi kulinda Petrol Station, Jose alikuwa gate Man BP makao makuu Kurasini na alikuwa amepanga Mbagala.
Ni BP ndipo palipompa Sugu access ya kurekodi Album zake pale getini michongo ya mazabe ni kama yote Nigger amepiga sana pesa hili mimi sihadithiwi huyo tangu Mbeya day ni mtu tunafahamiana bado tuko teenegers.
Mimi naondoka Bongo Jose nimemuacha bado anakaa Mbagala, kuja Kiwanja ndio alitokea Kinondoni au Sinza i think, nimekuja first time Bongo ndio nakuta uzinduzi wa album yake ya Millenia.