Recent content by bujumbura

  1. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

    Hahahahaaa! Mambumbumbu watakuunga mkono hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

    Wewe mbumbumbu tu tena huna madhara yyte hata usiposhangilia, kocha ndo ameshachagua sasa kama roho inakuuma hama nchi, ulisikia wapi timu ya taifa ikawa simba au Yanga? Kweli wewe mbumbumbu la mambumbumbu na mbumbumbu wenzio wanakuunga mkono. Hiyo simba yenu ni timu ya uwanja wa mkapa tu nje ya...
  3. bujumbura

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya ni Binadamu wa ajabu sana!

    Mbona umetumia maneno makali sana?
  4. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ________________________________
  5. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumuoa ila anapenda pesa na muda wote yupo mtandaoni

    Halafu akuoe wewe?
  6. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Walipompekea yule mwanamke aliyezini ili awaruhusu wampie mawe kama sheria ya Musa inavyosema....ndipo Yesu anajibu akawaambia,yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga mawe ...wale watu walitawanyika wote wakamuacha yule mwanamke na Yesu.....Ndg hilo ni jambo LA kawaida sana...
  7. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Unapenda likes eeeh!?
  8. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Mkuranga: Kuna ajali ya Basi imetokea Mwanambaya

    Ni basi la kampuni gan hilo?
  9. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Tarehe 16 may Yanga fc inatangaza ubingwa

    Kama ubingwa wa ndani unawashinda mtawezaje kuiwakilisha nchi ? Kaeni huko huko mchangani
  10. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Acha kuzusha mkuu Leo ni jumapili wala si siku ya kazi,nyie ndo mnayoitoa maana jf kwa vipost vyenu uchwara
  11. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Mkuu naona kama wewe msabato Ndiyo hutakiwi ndiyo maana povu jingiiiiiii
  12. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Eti wanataka mahari ya Tshs. 2,000,000... kipindi hiki cha Magu...

    Exactly, she is worth more than any amount of money, providing dowry doesn't mean you are buying her instead that is the sign of being ready to take care for her as husband
  13. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumshauri ushauri mmoja tu Mh. Rais Utamshauri nini?

    Ntamshauri ahamishie makao mkuu ya nchi Kigali iwe rahisi kuiongoza
  14. bujumbura

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais mteue Pascal Mayalla kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari

    Huyu ni yeye mwenyewe ila ametumia id nyingine
Back
Top Bottom