Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Duh we ni hatari sana, Mungu angekua hivyo nadhani hata usingekuwepo
Sikio la kufa halisikii dawa mtu alionywa lkn bado akaenda kufanya unadhani ataacha?!...mwanamke mpk akifikia kutoka nje ya ndoa ujue ndio basi tena
 
Uwe na uhakika kuwa mkeo anapigwa nje halafu uje kuomba ushauri eti watoto watakuwa katika maisha magumu!! Je mkeo akifa au wewe ukifa watoto wataishi vipi? Nashkru mungu nilizoea kupiga chini warembo nikiwa bado sijaoa. Bora upeleke watoto kwenye vituo vya kulelea lkn sio ubushoke kama huu. Wanaume tuna hustle sana kuwatunza hawa watu. Naweza kukuvumilia tabia zote lkn sio hii. NB:Fukuza watoto peleka kwa bibi yao au Shangazi yao then peleka huduma za kutosha huko waliko na tafuta mwingine slowly
 
Trust me, one can be loyal hata kwa miaka 10, but akiamua kukucheat atakucheat tu hata kama anapata kila kitu toka kwako. Binadamu ndivyo tulivyo mkuu.
Hapana mkuu mimi naweza kwenda tofauti na wewe.. Meanamke akiamua kukucheat jua anasababu kuu. Hawezi kukucheat bila sababu. Sisi wanaume tunaongozwa na tamaa na ndio maana tunacheat mnoo. Ila mwanamke anapicheat wakati mwingine moyo wake haumtumi kufanya ivyo ila kwa sababu ya kitu Fulani inapelekea kuchukua maamuzi hayo.

Kwa hiyo jamaa lazima afanye tathimini ni wapi alikosea mpaka make akamcheat
 
Sijasema mwanaume akitoka ndio sawa ila ukweli ni kuwa wanawake ni waaminifu kwa kiwango kikubwa wakiwa katika ndoa zaidi ya wanaume

Hapana bwana sisi tunasingiziwa tu, ila kisaikolojia ni kwei tunapenda sana dyu dyu kuliko nyie, so please endeleeni kutusamehe tu
 
Walipompekea yule mwanamke aliyezini ili awaruhusu wampie mawe kama sheria ya Musa inavyosema....ndipo Yesu anajibu akawaambia,yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga mawe ...wale watu walitawanyika wote wakamuacha yule mwanamke na Yesu.....Ndg hilo ni jambo LA kawaida sana kwa ulimwengu wa sasa ...nasema hivi kwa ujasiri mwingi maana hata wewe umeshawahi kuchepuka tena zaid ya Mara moja sema hujakamatwa tu
 
Ndoa ni kitu kigumu sana.u Ukimwacha huyo ukamchukua mwingine unaweza kuwa ndio umetumbukia kwenye mateso makuu. Lakini tambua kwamba LAZIMA KUNA MAMBO ULIYOFANYA/HUKUYAFANYA yakamsababisha mkeo achepuke. Kwa hiyo fanya yafuatayo: a) Mkalishe mkeo chini muulize ni nini hasa kilimfanya achepuke. Msamehe maana hata wewe una matatizo. Muulize kwa upole, msikilize, kubaliana na sababu zake, na ujaribu kujirekebisha. Mkeo akionyesha kutubu msamehe lakini mwambie kama kweli ametubu na yuko tayari kuachana na huyo mwanaume, basi nendeni kwa wazazi mkawaeleze mambo yalivyokuwa lakini mmekubali kusameheana. Tokea hapo usifanye tena yale atakayokuwa amekwambia. Ndoa yako itarudi fresh. Ukimwacha mkeo huna guarantee ya kupata mwingine atakayekufaa. Na kila mwanamke ana shida zake- wewe waone tu wanawake hivi hivi. Wako very complicated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mkeo ulipomuuliza kuhusu kutembea na huyo jamaa alikubali na kuomba msamaha?
Je uliwahi kumuonya huyo jamaa anayetembea na mkeo?
Je mkeo anaonyesha kujutia hayo aliyoyafanya? Naomba majibu ya hayo maswali hata ukiweza njoo PM nikupe ushauri

Ndugu yangu hizo ndizo changamoto za ndoa na kusema ukweli kuchapiwa kunauma sana, Mwanamuziki Banana Zorro aliwahi kuimba kuwa maumivu ya mapenzi yanazidi hata msiba. Nashauri ili jambo umpelekee mzee yoyote ambaye ana uzoefu na maisha na ameishi kwenye ndoa miaka mingi anaweza kukupa ushauri mzuri sana kwani ameshapitia mengi. Tnajikaza tu kiume lakini haya mambo yanatokea kwenye ndoa nyingi sana sema wanaume uwa tunaumia na kuugulia kimya kimya bila kutangazia watu.

Muombe sana Mungu kipindi hiki ili akuvushe katika huu mtihani. Sikushauri kuachana labda mpaka utakaponijibu maswali ya msingi hapo juu. Kwa ufupi hiyo ya kuchapiwa ni moja ya changamoto za ndoa ingawa kuna changamoto nyingi kubwa Zaidi ya hiyo
Watu wengine Mungu kawapendelea kipawa cha uvumilivu. Hii ingekutokea wewe ungepata muda wakuuliza maswali yote hayo?
 
Lakino sio kwa upumbavu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Una dhani.baba yako na mama yako hawajawahi kusalitiana?
Ndoa ina mengi.ambao hawana uvumilivu wana achana.wengine wana uana.
Rejea tukio lile la mwanza yule jamaa aliyempiga shaba mkewe na yeye akajipiga.
DAWA NI MOJA TU.
AMWAMBIE UKWELI MKE WAKE KWAMBA ULIYOYAFANYA YOTE NIMEYAJUA.SASA UCHAGUE MOJA UACHE ILI UWE MKE WANGU.AU UENDELEE NAE JAMAA YAKO MIMI TUACHANE..
HAPO ASIMPIGE WALA KUMGOMBEZA JAMAA AENDELEE NA MISHE ZAKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni chaguo lako...chaguo lako....
Kaeni chini kujua tatizo/chanzo ni nini? Msamehe
Huenda umemuoa usiemjua vizuri
 
Kama hujawahi muhisi anakucheat miaka hiyo mitano labda atakuwa ameteleza tu. .

Kaeni chini muongee, umuone jinsi anavyochukulia alichofanya, umsome sababu wewe unamjua vema kuliko sisi humu ndani, na mfike muafaka

Mungu akutangulie na msisahau mna mtoto mdogo wa kulea
 
Kama hujawahi muhisi anakucheat miaka hiyo mitano labda atakuwa ameteleza tu. .

Kaeni chini muongee, umuone jinsi anavyochukulia alichofanya, umsome sababu wewe unamjua vema kuliko sisi humu ndani, na mfike muafaka

Mungu akutangulie na msisahau mna mtoto mdogo wa kulea
Haha ameteleza..aise ...anamfunulia mwanaume mwengine uchi wake na sio mumewe halafu unasema ameteleza

What goes around always comes around
 
Watu wengine Mungu kawapendelea kipawa cha uvumilivu. Hii ingekutokea wewe ungepata muda wakuuliza maswali yote hayo?
Kuuliza ni muhimu maana kama akimtetea huyo jamaa kama hajalala nae wakati wewe unauthibitisho wote ni kwamba hapo anasimama upende wa mchepuko wake na sio kwako. Haya mambo unayatakiwa kuyapeleka kwa upole na sio kwa hasira na pupa
 
Back
Top Bottom