Hbr ndugu
Kama kichwa hapo juu dogo kachomeka USB mbovu na TV ikazima ukiiwasha inawaka lkn haidisplay kitu chochote n ukitumia king'amuzi unaweza sikiliza redio kwenye sabufa naomba msaada wenu kujua tatizo hili
Je ni kubwa sana ?
Na litanikost kiasi gan?
Na leta kwetu kwanza ndg kbla...
Natanguliza shukrani kwenu wana jf
Naomba kujuzwa bei za projector za bei rahisi sana kampuni yeyote ile ni kwa matumizi ya kawaida tu
Napenda kuwasilisha kwenu
Wakuu naomba kujuzwa kwa hili nina laptop aina ya HP probook 4431s wakati nainunua mwaka 2011 ili ina 640 GB hard disk na ilikuwa na window 7, nikawa nabadili window kila ikiwekwa window ikawa ina miss drivers ikabidi niweke window 8 ,sasa ninashangaa laptop inakuwa na 596 GB hard disk...
Nisaidieni wadau juu ya mada tajwa hapo juu
Nimejaribu kubadili adaptor lakini tatizo bado lipo na haiwaki mpka uchomeke adaptor
Natanguliza shukran kwenu wanajf wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.