Naomba kujuzwa bei za projectors

buhanda

Member
Jul 4, 2016
77
30
Natanguliza shukrani kwenu wana jf
Naomba kujuzwa bei za projector za bei rahisi sana kampuni yeyote ile ni kwa matumizi ya kawaida tu
Napenda kuwasilisha kwenu
 
Sikushauri kununua projector used kwa sababu unaweza ukatumia miezi miwili tu ikaishiwa nguvu ile mionzi ina time sasa uwezi jua alie tumia kaka nayo mda gani na mionzi ikipungua nguvu aionyeshi vizuri itakupa shida jichange ununue mpaya 1m unapata hd safi
 
Akinunua hata ya used sio mbaya kwani bulb ikiisha huwa inabadilishika, bei zake zinaanzia laki mbili na kuendelea

Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
 
kuna projector mpaka za chini ya laki 1, ila kutafuta tu projector hakukusaidiii mpaka ujijue unaitafuta kwa ajili ya nini
 
Laki 1 ? Mmh naweza ipata WAP
ninachomaanisha hazina issue, hapa kupatana naziona hadi laki na nusu, amazon around dola 30 hadi 40 unapata na.site nyengine za online.

hizo seminar unafanyia nje au ndani, namaanisha kiasi cha mwanga hilo eneo kipoje?
 
Ndan ndugu
 
Back
Top Bottom