Si mlijidai mnaanzisha Kaskazini Movement endeleeni nayo sasa. Na mmepandikiza kitu kibaya sana Tanzania hii. Kwa taarifa tu Kilimanjaro na Arusha wanaopiga kura ni 1.6m Kigoma peke yake ni 1.2 Bado Mwanza, Musoma, Bukoba, Simiyu, Shinyanga ,Geita nk. Mwanzoni mngeweza pewa kura kidogo kidogo...