Naomba Tafsiri ya hii njozi

wepson

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
831
217
Habarini wakuu na wataalamu na wenye wigo mpana wa kufikiri
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba mwenye ufahamu anisaidie kujua maana ya njozi hii

Wiki iliyopita nilitembelewa na dada mmoja kwa kweli nimedate nae mara mbili lakini mara zote mbili nimekua nikiota njozi ambazo zinafanana na kwa kijirudia rudia naomba kufahamu maana yake ni nini?
Mara ya kwanza niliota nachunga ng’ombe na mbazi lakini mbuzi wale walikua wananisumbua sana, kwa kweli sikuweza kupumzika katika machungo siku hiyo huyu dada alikua kwangu

Mara ya pili hali kadhalika nikiota mikichunga wanayama wakati huu wa aina tofauti tifauti wengi isipokua alikuepo mbuzi mmoja na mwanae weupe walikua wakinisumbua sana kiasi kwamba ilifika hatua hata nikataka kushindwa kuwa chunga wanyama wengine.
Nilifikia hatua ya kuwachapa sana Yule mbuzi na mtoto wake mpaka wakalala wakashindwa kutembea.
Kando ya eneo ya machungo kulikua na nyumba nzuri na iliyofunikwa na maua marefu nikahofu kwamba kwa fimbo nilizomchapa the Yule mbuzi kwa kua nilikua nachunga ni kama sio wangu ningeweza semelewa kwa mwenye wale wanyama.

Je wenye uwezo wa kutafsiri mambo hii ina maana gani

Asanteni
 
Huyo mwanamke atakusumbua, utashindwa kufanya majukumu mengine kama kuwahudumia ndugu hasa wazazi, lakini pia maendeleo ni haba
 
Wewe ni ng'ombe na huyo ni mbuzi. Nyota zenu zinagongana. zinavutana.
Kama umemfia sana, Mahaba niuwe, Tafuta wataalam wakisomo wawasaidie.

Lakini gari ya gereji ni ya gereji tu!
 
Habarini wakuu na wataalamu na wenye wigo mpana wa kufikiri
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba mwenye ufahamu anisaidie kujua maana ya njozi hii

Wiki iliyopita nilitembelewa na dada mmoja kwa kweli nimedate nae mara mbili lakini mara zote mbili nimekua nikiota njozi ambazo zinafanana na kwa kijirudia rudia naomba kufahamu maana yake ni nini?
Mara ya kwanza niliota nachunga ng’ombe na mbazi lakini mbuzi wale walikua wananisumbua sana, kwa kweli sikuweza kupumzika katika machungo siku hiyo huyu dada alikua kwangu

Mara ya pili hali kadhalika nikiota mikichunga wanayama wakati huu wa aina tofauti tifauti wengi isipokua alikuepo mbuzi mmoja na mwanae weupe walikua wakinisumbua sana kiasi kwamba ilifika hatua hata nikataka kushindwa kuwa chunga wanyama wengine.
Nilifikia hatua ya kuwachapa sana Yule mbuzi na mtoto wake mpaka wakalala wakashindwa kutembea.
Kando ya eneo ya machungo kulikua na nyumba nzuri na iliyofunikwa na maua marefu nikahofu kwamba kwa fimbo nilizomchapa the Yule mbuzi kwa kua nilikua nachunga ni kama sio wangu ningeweza semelewa kwa mwenye wale wanyama.

Je wenye uwezo wa kutafsiri mambo hii ina maana gani

Asanteni
Kwanza jua kwamba ulikuwa unawaza nini na watu au mambo gani. Kwanza hongera kesho yako ni nzuri japo kuna kipindi kigumu kuhusu mahusiano yenu. Huenda Huyu mpenzi wako atakuja kukupa wakati mgumu yaani utashindwa kuendesha mambo yako vizuri au utaacha mahusiano yako ya kabla au anaasili ya kiburi. ila utakujaga kufanya maamzi juu yake ambayo ndio yatakuonesha mlango wa mafanikio yako .Kwa kuwa imekuja Mara mbili njozi hii ni ya kweli lazima itimie.Unatakiwa usiachane nae kwa haraka maana yupo kwako kwa mpango wa mungu uwe mwenye subira mpaka mungu atakapo kuonesha njozi ya kumfukuza.we have Almighty God.
 
Habarini wakuu na wataalamu na wenye wigo mpana wa kufikiri
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba mwenye ufahamu anisaidie kujua maana ya njozi hii

Wiki iliyopita nilitembelewa na dada mmoja kwa kweli nimedate nae mara mbili lakini mara zote mbili nimekua nikiota njozi ambazo zinafanana na kwa kijirudia rudia naomba kufahamu maana yake ni nini?
Mara ya kwanza niliota nachunga ng’ombe na mbazi lakini mbuzi wale walikua wananisumbua sana, kwa kweli sikuweza kupumzika katika machungo siku hiyo huyu dada alikua kwangu

Mara ya pili hali kadhalika nikiota mikichunga wanayama wakati huu wa aina tofauti tifauti wengi isipokua alikuepo mbuzi mmoja na mwanae weupe walikua wakinisumbua sana kiasi kwamba ilifika hatua hata nikataka kushindwa kuwa chunga wanyama wengine.
Nilifikia hatua ya kuwachapa sana Yule mbuzi na mtoto wake mpaka wakalala wakashindwa kutembea.
Kando ya eneo ya machungo kulikua na nyumba nzuri na iliyofunikwa na maua marefu nikahofu kwamba kwa fimbo nilizomchapa the Yule mbuzi kwa kua nilikua nachunga ni kama sio wangu ningeweza semelewa kwa mwenye wale wanyama.

Je wenye uwezo wa kutafsiri mambo hii ina maana gani

Asanteni
Mkuu Kwanza elewa ya Kwamba ndoto ni baadhi ya njia ambazo MUNGU anazitumia kuzungumza na wanadamu lakini pia ni njia ambazo shetani pia huzitumia...

Ila zaidi elewa kuwa ndoto huweza kutokea kwa sababu ya mazingira ya ulichokifanya au kukifikiria kabla hujalala...

Sitaki kwenda mbali kuchambua ni ipi ndoto ya MUNGU au shetani ingawa ndoto za mazoea ya mchana zinajulikana.

Ndoto yako ni ina dalili ya MUNGU kuongea na wewe.

Ndoto yako ni MUNGU anakupa Onyo na anasisitiza ulifanyie kazi ndiyo maana umeota mara mbili ndoto hiyohiyo (Shukuru sana).

Tafsiri isiyo Rasmi.

Ng'ombe Ni Ndugu zako (Mama, Baba , Kaka Dada nk) ambao ni wa thamani kuliko Mbuzi.

Mbuzi ni huyo Mwanamke

Nyumba Nzuri uliyoiona hadi ukawa na hofu nayo ni kituo cha polisi.

Dhana nzima iko hivi.

Kwa sasa uko na ndugu zako (Ng'ombe) ni wa thamani sana kuliko mbuzi. Ila unajaribu kuwahudumia wote (kuwachunga) wote pamoja ila Mbuzi ambaye hana thamani kuliko Ng'ombe anakusumbua sana na unatumia muda mwingi kuwa naye.

Na unajaribu kumchapa ili aingie kwenye mstari lkn inashindikana, utachapa sana na mwishowe atakushtaki polisi (Nyumba nzuri uliyoiona ktk ndoto).

Kuwa makini na huyo mwanamke mkuu.

Jitahidi kuomba sana juu ya hayo mahusiano yako.
 
Shukran bro nimesha piga chini
 
Back
Top Bottom