Ambayo ni .......Inakuaje mtu utumie gari hata huipendi eti kisa inakula mafuta?mimi hapana naendesha gari ya choice yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]chukua ist karbia mademu wote saizi town wanakimbilia ist.
Runx cc zake ni ngapi mkuu?Kama ni speed chukua Runx, Kwenye Mafuta IST hiyo ingine siijui vyema.
Gari yeyote ile lazima ile mafuta hakuna inayokula mchemsho.Inakuaje mtu utumie gari hata huipendi eti kisa inakula mafuta?mimi hapana naendesha gari ya choice yangu.