• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Bucad

1. B

Natafuta Nyumba Ndogo

Bila shaka hiyo kubwa uliyosema ina matatizo ilikuzuia usitumie huduma za tigo.Kwahiyo umeamua kukaidi na kutafuta ndogo itayokuruhusu kutumia huduma hizo! Haya kaka!
2. B

Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

Kwa uvivu tu!mbona sisi vinara! Nadhani hili linachangawia na sababu mbalimbali,moja wapo ni asili ya makabila yetu.Kuna makabila yenye asili ya umwinyi na amini usiamini watu toka makabila hayo wengi wao hata wawe wamesoma vipi na wakaajiriwa bado atataka kuleta umwinyi wake kwenye kazi.Utakuta...
3. B

Tukio ambalo lilinivuta shati…………….

Umenikumbusha msemo wa "bendera hufata upepo" lakini mwisho wa siku upepo hupita zake na bendera hubaki hapo hapo! Pole sana Mtambuzi ingawa ni kitambo kidogo!
4. B

Tabia za ukoo zinahusika ukitaka kuoa au kuolewa?

Ni muhimu kumjua mwenzi wako vizuri kabla ya ndoa maana kuna tabia au magonjwa ambayo hurithishwa kiokoo ambayo kama usipokuwa makini kuyajua basi yanaweza kutibua ndoa yako kabisa. Kuna huu ugonjwa wa kifafa ni ugonjwa ambao hurithishwa kazazi hadi kizazi katika koo husika na mbaya zaidi si...
5. B

Traffic, abiria au madereva na makonda!

Sasa kama wanapakia sehemu isiyo na kituo watashindwa vipi kushusha sehemu isiyo na kitua?! Hapa bongo kila kitu hufanyika kwa mazoea hakuna cha sheria wa taratibu!
6. B

Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

Inawezekana haswa! Ila kama anafanya hivyo kama kazi na kaa ukijua asilimia kubwa ya machangu wana wapenzi wao na wengine hata wameolewa na wanafanya hiyo kazi kwa kujificha na unakuta kwenye mahusiano yao hali ni shwari tu!
7. B

Arsena'ne kapigwa tena

Kuna timu ya mpira wa miguu na mpira wa kikapu,kwa sasa arsenal ni timu ya mpira wa kikapu! Watajibeba mwaka huu.
8. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Nimezungumzia hivyo kwa sababu mimi kama mimi sijawahi kuidharau dini ya mtu yeyote na pia sijawahi kuingia kanisani kwenye misa na kumsikia padri au askofu akiikandia dini ya kiislamu sana sana hutusisitizia kuishi kwa amani na upendo pasipo kujali tunaishi na watu wenye...
9. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Nilisema nyie ni watu wa vinyongo sana na wewe umedhihirisha hilo,nani kakwambia njia pekee ya kuondoa dhuluma ni vita? Kwanza hiyo dhuluma mnafanyiwa na nani? Na hiyo vita mnataka mpigane na nani? nyie subirini tu mtakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe.
10. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Hivyo ndivyo mnavyoamini nyinyi kuwa dini yenu ni sahihi kuliko zote sawa sikatai lakini ni kwa mujibu wa imani yenu sio mbaya ila kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka tena kwa lazima kupandikiza imani yenu kwa wengine wasio waislamu eti nao waamini vile mnavyoamini! Kwa...
11. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Pia kuna shekh mmoja kazi yake yeye ni kuwaruka ukuta wake za watu,hajali ni dini gani yeye huruka tu! Kwa hiyo hii ndio jihad au siyo? Mi nadhani anaichochea sodoma na gomola na anaturudisha nyuma kiimani miaka milioni kadhaa iliyopita!
12. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Wewe usiyeogopa vita na kujiona ni mwanaume ushapigana vita ngapi? Huo ndio upumbavu na ujuha tunaouzungumzia halafu tukisema ooh!mnatutukana! Tatizo vichwa vyenu vimejaa ugumu wa kufikiri kiasi cha kufananisha ukatili na ujasiri na kunadhani ni kitu kimoja!
13. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Na wewe pia hapa huna hoja za msingi hiyo mistari yako kawakusanye mabichwa maji wenzio hukooo mtaani kwenu wasiojua nini kimemaanishwa na nini hasa maana ya uislamu,kwanza nina mashaka na imani yako juu mwenyezi mungu!kwa hiyo waachie wanaojua nini maana ya uislamu!
14. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Muondoe dhulma na dharau ili haki itendeke! Haki gani hiyo? Haki ya kutenda vitendo vya kigaidi au ni haki gani nyingine unayoizungumzia? Tatizo kubwa la nyie watu kiasili ni watu wa vinyongo sana na siku zote huwa mnadhani hii dunia iliumbwa kwa ajili yenu hivyo mna haki ya...
15. B

Gazeti la An-Nuur na Kuchochea Ugaidi

<br / Wewe naona hii mada ni kubwa sana kwako ni bora ukalale kama huna cha kufanya maana unaropoka tu kama uliyeamshwa toka uzingizini!
Top