Traffic, abiria au madereva na makonda!

Traffic, abiria au madereva na makonda!

Simcaesor

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
111
Reaction score
9
Kuna tabia katika daladala abiria anaomba kushuka sehemu ambayo hakuna kituo, Konda anamuomba dereva naye anakubali mara nyingi kwa kauli angalia kwanza kama hakuna traffic, sasa hii ni kwasababu ya usalama wa abiria au tunawakomoa traffic? na kwanini abiria aombe kushuka sehemu ambayo siyo kituo? kwanini konda na dereva wanakubali kushusha watu katika sehemu hizo?
 
Tatizo hapa nimipango miji inatakiwa kituo haadi kituo isizidi mita 500,lakini hapa unakuta ni kilomita moja!hivyo abiria anapoomba msaada anataka anarahisisha safari yake!Japo ya wezekana ana hatarisha maisha yake na kuvunja sheria!
 
Sasa kama wanapakia sehemu isiyo na kituo watashindwa vipi kushusha sehemu isiyo na kitua?! Hapa bongo kila kitu hufanyika kwa mazoea hakuna cha sheria wa taratibu!
 
Back
Top Bottom