Recent content by btheone

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lady Jay dee baada ya kupokea tuzo, asema narudi kimya kimya

    hii post haina maaana kabisa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada twa kubadilishiwa mshahara baada ya kuongeza elimu

    Ofisi ya Utumishi wa Umma hawanauwezo wowote nenda kwa muajiri wako then muajiri wako atawezakuangalia kama unastahili na kama unastahili basi utaingizwa katika mfumo na afisa utumishi wa wilaya yako.
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje

    huyo demu akimaliza chuo ataachia mambo ili apatiwe kazi akiwa kazini ataachia mambo kwa wakurugenzi ili apate mipunga zaidi....kimaisha ya maendeleo huyo demu ni anaakili sana ila kimaisha ya mapenzi amefanya kosa kubwa mnooo na hato acha.....kaka fanya uamuzi wa akili mingi utakuja lia au...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi Serikalini mmepumbazwa na kitu "security of Employment" mwisho mnakufa masikini

    Hana hoja anaponda tu...toa hoja
  5. B

    JamiiForums Tanzania Picha ZINAOGOFYA za mashambulizi Lamu -Kenya i

    Duh...Duniani kumekua pahala pabaya hivi...Mungu tusaidie duh inauma sana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Freelancer wa Postal Bank

    Pole kwa kulia aise imeniumiza sana....kazi ni ngumu ila why watutesi hivi unampa buku 1 mtu duh...hata naulimkwa siku hamtoshi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wengi wanalamikia ndoa zao jf

    Sijui why tunasema matatizo yetu hapz
  8. B

    JamiiForums Tanzania Updates from PPF

    Sasa wanapata wanawake tu au ukiwa wa kiume unapewa na wadada wa hapo kazi ni ngumu sana mjini
  9. B

    JamiiForums Tanzania Interview Finca Bank

    Kafanye kwanza interview
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

    Duh noma sana hii
Back
Top Bottom