mikagati
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 320
- 71
Kibaya zaid hiyo pesa wameweka kwenye acc ya bank ambayo wanakulazimisha ufungue post bank.sasa hapo nitatoa nn kwenye ATM.moyo unaniuma sana
Duh bora turudi kijijini tukalime
Kibaya zaid hiyo pesa wameweka kwenye acc ya bank ambayo wanakulazimisha ufungue post bank.sasa hapo nitatoa nn kwenye ATM.moyo unaniuma sana
dah pole sanaMm nimeacha hiyo kaz last week.coz mwez mzima nilileta wateja 39.dah wakuu nikaambulia buku tatu tu.then wakakata kodi nikabakiwa na buku mbil.nililia sana kesho yake sikumuaga mtu nilisepa.walivyonipigia simu nukawatukaaaana mpaka bas