Recent content by Bsyotyo

  1. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hivi Zantel si wamenunuliwa na Tigo Namba zao zitakubali Humu?
  2. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

    CAG alisema Magari Kibao ya Serikali hayajulikani yanafanya Kazi Gani.. Yametelekezwa Halafu Unakuta Aliyeyatelekeza na Ujinga Wote Yupo Sehemu ai Kastaafu zake
  3. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

    Jeshi liingilie Kati Haya Mambo Watu wanakula Ila Hakuna Kinachofanyika
  4. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

    PDF ya Bajeti Ipo Wapi..Ili Tuipitie na Sisi Hatutaki vya Kuambiwa Siku Hizi
  5. Bsyotyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaoneana wivu sana kwenye mahusiano

    Wanawake wanaoneana Wivu kutokana na Mali ambazo wanaona Mwenzao ataziridhi ukifa
  6. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

    Hata Kama Ni Wewe Utashindwa Kumsingizia Marehemu ili Uachiwe..
  7. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

    Hainaga Tuzo Utazikwa Utasahaulika... Kuna Mambo ya Kujisifia Ila Usijisifie Umetoka Ulipozaliwa
  8. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Kwani Wewe unataka Jibu au Unataka Akili ya Mtu?? Kwanini Uishi maisha Ya 1980 wakati watu wanaishi maisha ya 2023... Kujibu kwa Kichwa Siku hizi si ujanja Tena eti utasifiwa na Watu siku hzi watu wanatafuta Solution ya Matatizo Kwa Njia Yeyote ile Ili Mradi Tatizo Limetatulika Haijalishi...
  9. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Hii Room Inafaa zaidi kukaa Nje Kijumba chake cha Nje
  10. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Nunua Generator kubwa la kuanzia laki 6 mpaka mil 1.2, umeme ukikatika wa Tanesco washa Generator lako weka mafuta ya Tsh 10,000 unamaliza Shida zote za Ndani Bila Mawazo
  11. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Nani anaifahamu hii kampuni ya kuuza internet ya konnect ?

    Cha Kuchekesha Ukitumia zaidi ya GB10 wanashusha Speed[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora TTCL fiber
  12. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Mungu (Jehova), baba yetu aliyembinguni amekataza kuchora tatoo katika Mambo ya Walawi 19:28

    Sasa Mambo ya Walawi yanakuhusu Nini wewe wa Kigamboni Tanzania au Kibiti. Mambo ya Walawi ni yanayowahusu Walawi na Mungu wao ndio Alikuwa anawaandikia Hao. Kisheria Huna Kosa Lolote ukijichora Maana Hukuambiwa Wewe
  13. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Lema: Maskini ndio wanaona Tsh 12mil anazolipwa mbunge ni hela nyingi. Hiyo ni Sawa na US Dollar 5000 tu ambazo hulipwa majobless kule Marekani!

    USA wanakula Ugali kama Sisi!?? na Dagaa wa Mchanga na Boflo ?? Mi mtu mingine Hovyo Kabisa.. Unafananisha Nchi Tajiri Dunia nzima na Nchi Masikini
  14. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Hawajui alipo kwani[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom