Nani anaifahamu hii kampuni ya kuuza internet ya konnect ?

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Naweza jua kama kuna mtu amesha wahi pata huduma zao? Nahisi kuna harufu ya UTAPELI , hawako wazi kabisa .
IMG_0472.jpg
 
Unaishi wapi kwanza na ungependa kuifungia wapi au maeneo gani ili unitumie?
 
Gharama kubwa halafu Lazima Uwe Sehemu yenye Dish peke yake. Installation tu lazima uandae laki 4 kasoro bado Bando.

Inawafaa watu wenye Maofisi na Makampuni
 
Gharama kubwa halafu Lazima Uwe Sehemu yenye Dish peke yake. Installation tu lazima uandae laki 4 kasoro bado Bando.

Inawafaa watu wenye Maofisi na Makampuni

Inategemeana na mkoa,kuna mikoa inazidi hiyo bei….hapo ndio walipo feli…..kama provider wa tv wanatumia satellite kama hao konnect lakini bei ni moja mikoa yote lakini wao kila mkoa na bei yake.
 
Hizi ndio bei walizonipa mimi, $699 (TZS 1, 625, 874.00) kununua kit yao (yenye dish, router na waya) bado hao jamaa wa kufunga nikasema hawa ni wehu. Nitasubiri tu haya makampuni mapya ya Fibre yafike mtaani kwetu tu.
IMG_20220521_095753.jpg
 
Hizi ndio bei walizonipa mimi, $699 (TZS 1, 625, 874.00) kununua kit yao (yenye dish, router na waya) bado hao jamaa wa kufunga nikasema hawa ni wehu. Nitasubiri tu haya makampuni mapya ya Fibre yafike mtaani kwetu tu. View attachment 2232700
Gali sana Kuisntall aisee duh Milion moja na laki 6 apo bado ulipie elfu 60 au zaidi kwa mwez iyo bei wengi watashindwa

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Kama waishi mbezi beach Zuku tayari wamesambaza Fiber mitaa yote

Kama uko mbali na Mbezi Beach basi watafute connect 16 hawa wanakupa vifaa bure
 
Hizi ndio bei walizonipa mimi, $699 (TZS 1, 625, 874.00) kununua kit yao (yenye dish, router na waya) bado hao jamaa wa kufunga nikasema hawa ni wehu. Nitasubiri tu haya makampuni mapya ya Fibre yafike mtaani kwetu tu. View attachment 2232700
Gharama znategemeana na maeneo boss mf dar cost kuwa kubwa 1.6mil nisabu ya beam ya satelite dar imejaa ko wanalazimika kutumia dish kubwa za cm120 ilikuweza kupata satellite frequens vizur na gharama ya hilo dish ndio kubwa lakin mengne ni easy n marlewano tu na kwa mwanza gharam n nafuu sana maana beam ya mwanza haina user weng ko wanatumia dish la cm74 kama la azam tv ko ukijumlisha na gharama zote unakuta kost ni 9640000/= pamoja na kifurushi cha mwaka mzima ko nikuoeta tu. Pia myeja anaweza lipia cost kwa hawamu siyo lazima yote
 
Hizi ndio bei walizonipa mimi, $699 (TZS 1, 625, 874.00) kununua kit yao (yenye dish, router na waya) bado hao jamaa wa kufunga nikasema hawa ni wehu. Nitasubiri tu haya makampuni mapya ya Fibre yafike mtaani kwetu tu. View attachment 2232700
Cha Kuchekesha Ukitumia zaidi ya GB10 wanashusha Speed

Bora TTCL fiber
 
Back
Top Bottom