Recent content by Brutus

  1. Brutus

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Hahaa kijana! hapa ushawapa watu script ya kutengeneza katuni! So funny!
  2. Brutus

    JamiiForums Tanzania Gen. Mrisho Sarakikya aliwahi kuhusishwa na Uhaini?

    Naam Comrade! Kaisari alibana sana! Ndio tumerudi na kuanza kupekua hazina zilizofichika... maana hii mijadala ilikuwa mitamu sana. Nowadays kuna uhaba wa threads kama hizi! Haya mambo huwezi kupata darasani! Siku hizi threads zimejaa name callings tu, mara huyu kamuita mwenzake 'gamba' sababu...
  3. Brutus

    JamiiForums Tanzania Gen. Mrisho Sarakikya aliwahi kuhusishwa na Uhaini?

    Hii thread si mchezo!
  4. Brutus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Israel inaomba silaha!!

    Lakini Si unajua kiroboto kikimuingia tembo masikioni inakuwaje?
  5. Brutus

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

    I have feelings that former Pres. Mkapa was kinda drunk.. (kwa wale mnaomfahamu kwa karibu mtaelewa)! Kama angekuwa sober asingeweza kuongea kipuuzi kwenye mkutano wa kampeni kama alivyofanya.. He is too experienced to behave like that!
  6. Brutus

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Prof Samuel Steven Mushi

    Dah Sad day indeed! RIP Prof Mushi! Poleni akina Charles, Innocent, Patrick na wanafamilia wote kwa ujumla!
  7. Brutus

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    I'm just curious.. hivi wananchi wa Alaska, Texas or Louisiana wangeulizwa kama wangependa wawe part ya USA wangesemaje?
  8. Brutus

    JamiiForums Tanzania Posho na Mishahara ya wabunge...

    Kama Opposition imetoa hoja nzuri na CCM ikaona ni jambo jema sana.. na wao kama Majority wakaona waanze kulitekeleza kwa nini tusiwape credit hata kwa hili dogo? Wangeamua kuwa kichwa ngumu i bet wangeshambuliwa zaidi.!! Tukubali tu kuwa hizi posho ni kutumia vibaya hea za walipa kodi. Vyama...
  9. Brutus

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa Nimewakosea nini Watanzania? (Huyu SI LOWASSA)

    Si mchezo.. Karibu sana Ukumbini!!!!!
  10. Brutus

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Si uhaini kumng'oa rais Kikwete kabla ya 2015

    Mpiga kura wa kawaida anayeshindwa kupata milo mitatu kwa siku ni vigumu kuelewa hii conversation! Strategically ni vema waki-stick na messages walizokuwa nazo kipindi cha kampeni. Kumwambia mwenye njaa kuwa anaweza kumtoa madarakani rais hata kabla ya muda wake... u can tell mwenye njaa atakuwa...
  11. Brutus

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: Si uhaini kumng'oa rais Kikwete kabla ya 2015

    Cheap politics! Lengo kuu la kuunda chama cha siasa ni kushinda uchaguzi na kuongoza nchi! uchaguzi umekwisha.. wapeni CCM miaka mitani yao watawale.. mbona mnawapa excuses za kampeni ya 2015?? By nature watanzania hawapendi fujo.. hii tone itakuja kuwa backlash mbele ya safari. they better...
  12. Brutus

    JamiiForums Tanzania Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    Well said mkuu. Na wala hakuna crime iliyokuwa commited except upendo na uzalendo wa kuona nchi inapata kile inachostahili! Inabidi CCM na Chadema waache siasa za mipasho na ku-stick kwenye sera na maendeleo. Wananchi ndio wana-lose hapa.. sio hawa wanaopata ruzuku zinazotokana na jasho la...
  13. Brutus

    JamiiForums Tanzania Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    Kama kuwa opposition si dhambi.. je.. kuwa CCM ni dhambi? Mbona wana-CCM wakijitokeza kutetea hoja wanapata personal attacks?
  14. Brutus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Osama bin Laden killed!

    Piracy in The Gulf of Eden is more than u think. Umeshawahi kufikiria ransom money zinakwenda wapi na zinawekwa kwenye bank gani? Vile vi-pirates ni foot soldiers tu. Wanajuaje movements za meli na wanachaguaje meli za ku-attack bila kuwa na advanced information?
  15. Brutus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Osama bin Laden killed!

    Opium ni mazao tu kama Cannabis na coca leaves! The main market ni US na Europe .. na major suppliers sio watalebani. Hao ni wakulima tu.. au unafikiri soldiers wako kule kulinda raia?
Back
Top Bottom