Msiba wa Prof Samuel Steven Mushi

R.I.P Prof S.Mushi, lately i saw him having conversation with a TBC1 reporter on Rostam Aziz's move!
 
Mungu alitoa NA Mungu ametwaa,jina lake libarikiwe! Nawapa pole familia,ndugu,jamaa na marafikize!
 
Poleni wafiwa,chanzo cha kifo ni nini? maana umeusisha kifo chake na ku-comment kwa rostam aziz kujivua gamba au kuna mkono wa R.A?

Poleni familia ya Mushi, na Jumuiya ya Chuo na Kanisa la Kilutheri na watanzania wote. Hakika Professor Mushi alikuwa mtu wa watu, na mcha Mungu.

Ndugu unayeongelea habari ya RA na kifo hiki si sahihi. Aliyeandika habari za kifo hiki amesema vizuri kabisa kuhusu michango ya Professor mbalimbali ya kisiasa na kijamii na akasema mara ya mwisho kuonekana kwenye vyombo vya habari ni wakati anazungumizia issue ya RA kujiuzulu na dhana ya CCM kujivua gamba. Hajahusisha kifo chake na kujiuzulu kwa RA, acha kupindisha ukweli wewe loh
 
mh amelifanyia nini taifa huyo profesa?
Mie siumjui marehemu ila ulichoandika hapa inaonyesha jinsi ulivyo finyu, huna mbele wala nyuma NA hauna akili za kuona kuwa amechangia mengi kwa waliokutana nae maishani mwakeWewe ukifa utakuwa umefanyia nini taifa letu?RIP
 
Dah Sad day indeed! RIP Prof Mushi!
Poleni akina Charles, Innocent, Patrick na wanafamilia wote kwa ujumla!
 
Poleni sana wana familia kwa msiba huu mzito,the nation will definetely miss his wisdom and knowledge!
 
Death has no promise,let us pay our last respect to him and consider up on death to every creature,here the question is not ''whether'' but ''when'' so let us prepare for our innevitable destiny.May God rest his soul in peace wherever.
 
Upeo mdogo! Alinifundisha mimi na mamia ya Watanzania wengine. R.I.P Mwalimu wangu
Pole wafiwa. Aliyeuliza kalifanyia nin taifa yuko sawa.kuna maprof wengi wamejiingiza kwenye siasa au wamekuwa washauri wa viongoz wa taifa ili kwa mambo machafu.unaweza kuwa ulifundishwa lakin labda product yake ni watu hovyo,mafisad etc. Binafsi naungana na wanafamilia kuomboleza msiba ila ni bora pia tujue amefanyia taifa mabaya au mazuri.mifano tunao prof chachage, aroub othman hawa msimamo na mchango kwa taifa unajulikana
 
Profesa nalazimika kusema R.I.P kwa sababu ya mazoea. Kwa nini nikuage wakati najua utaendelea kusihi kutokana na sifa za uanazuoni ulizokuwa nazo. Sifa moja kubwa ya mwanazuoni ni kuendelea kuishi hata baada ya kufa. Kwani maisha ni nini. Maisha ni kile anafanyacho mtu kila sekunde, kila saa, kila siku, mwezi, mwaka. Prof. Umefanya kazi yako, ulitimiza wajibu wako kama mtaalam wa siasa. Nitakukumbuka kwa dhana yako ile ya 'Ubyasharishaji wa siasa na Usiasaishaji wa biashara'.
 
Back
Top Bottom