Recent content by bruno1717

  1. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Chaneli 100 bure hapa ni suluhisho na njia ya kuepuka hivyo visimbusi vya kulipia

    ni kweli ila itakubidi ufanye kazi ya ziada manake hao itv,na izo channel zingine huwa wanachange frequency karibu kila mwezi. itakulazimu uwe unalizungusha dishi ili kuipata iyo channel ambayo frequency zimebadilishwa,na ukumbuke kila ukichange direction ya dish unazikosa zingine na...
  2. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Wakopeshaji wa vifaa vya kilimo na ujenzi (EFTA) ni wahuni?

    Sio uhuni ndo masharti ya kula lazma uliwe.yupo jamaa yangu aliomba mkopo wa machinery gari yenye friza tani 2 na nusu.alifanikiwa na alipitia hatua kama ivo na 5 percent ya mkopo alilipa+takrima.it takes slopes&hills to succeed.no paths are so clear
  3. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Wavaa vimini na milegezo wavuliwa nguo hadharani jijini Mbeya

    iyo kampuni inatafuta kiki tu ivune pesa.wata wanahaha kutafuta fursa.lol;kilimo cha nyanya kinatoa pia
  4. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    udsm mnasoma theory nyingi kuliko practical.mist&dit&st.joseph wanatoa b.eng/m.eng kwa udsm ni bsc.in eng. msc.in eng mnashindwa hata na mist.
  5. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    hao wapo independent ninavyojua,chini ya shirika lao india.hao collaborators ni kama business partners kurahisisha kazi ya uwekezaji.Labda there is something FISHY..
  6. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    st.joseph ni ya wakatoliki. chini ya DMI-daughters of mary immaculate and collaborators.nimesoma diploma ya nta level 6 civil engineering hapo luguruni dsm. na nimkatoliki pia.ww huelewi kitu.
  7. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Benki gani ina fees ndogo kufanya manunuzi online?

    unaziset vp proxy za kenya?mimi natumia paypal na barclays bank tz
  8. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Clouds 360 morning

    it is realy boring.kama ninamuda huwa naweka cctv/russia today/bbc. -they act too childlish.
  9. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kusafirisha Mazao Nje ya Nchi: Jifunze Utaratibu wa Kufuata, Changamoto, Faida na Uzoefu wa Wengine

    naomba kufahamishwa zaidi.TT ni telegraphic transfer au? na LC? sijawapata vizuri. -Nalima mchele mbeya.nafkiria kuanza kuexport.
  10. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya wazi ya Sinza yameanza kuwekwa X tayari kuvunjwa

    badala ya serikali kupoteza pesa na kubomoa majengo.ingeyatwaa jayo majengo na kuweka huduma muhimu za jamii kama hospitali,shule na huduma zinginezo. -ikishindwa imilikishe hayo majengo kwa NHC watu tupange.ama vepeee¡
  11. bruno1717

    JamiiForums Tanzania Hisa (DSE): Nataka kupata gawio la 12ml Tshs kwa mwaka

    its good.nunua za crdb bank.ni uhakika faida. -though the market policy&rules protects you.if no profit then ur money will still be there.
  12. bruno1717

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank na wizi wa online purchases and transactions

    thats cheap nonsense out of point.
  13. bruno1717

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank na wizi wa online purchases and transactions

    Mkuu naona mwalimu wa lugha..Anyway nilikuwa nimeng'atwa na sisimizi nilipokuwa natype. -Go to hell crdb,I now closed all of my crdb accounts and shifted to barclays 6 months ago=efficient services ever. -ambae hajawai kuibiwa aje hapa tujadili.
  14. bruno1717

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank na wizi wa online purchases and transactions

    chochote kinachonifaa on my way lazima kipate promo.kisichonifaa pia promo lazima. -Ni wazi kuwa crdb wanatabia hiyo na si hivyo tu bali wanatatizo la mtandao.unaweza kushop online na ukaachwa kwenye mataa au funds ikawa loaded zaidi ya mara 1. -Barclays benki ya wa british.hawahitaji promo na...
Back
Top Bottom