CRDB Bank na wizi wa online purchases and transactions

bruno1717

Member
Apr 17, 2015
61
16
benki hii imekubuhu kwa wizi wa manunuzi ya kimtandao&transactions.
-ukifanya manunuzi au kulink card au kama transaction imefeli huwa hawarudishi zile pesa.Na zikirudi 90percent cases zile pesa zimepigwa panga.
-nishaitumia mwaka wa 2 huu wameniibia sana.
-Go to hell crdb i know closed all crdb accounts and shifted to barclays 6 months ago=efficient services ever.
-ambae hajawai kuibiwa aje hapa tujadili.
 
Mimi nina 6month nafikilia kujiunga na online purchases kwa crdb. Bora ulivyo niwahi.
 
Naona u anaandika na kujijibu mwenyew... Mnahangaika sana kuchafua Crdb... Ngoja serikali ifungue akaunti zake BOT...
 
Teanscation ikifeli na ukafuatilia kwa watu wa "online banking" section, mshiko unarudishwa.

Kulikuwa na tatizo pia la kukatwa mara mbili. Nadhani hii wameshalitatua. Pamoja na mapungufu yao, I still think CRDB wapo vizuri kidogo kwenye online banking. Niliwahi kujaribu KCB na sikuwapenda.
 
Siyo utani CRDB hawarudishi "refunds for undelivered goods". Mimi nifuatilia "refunds zangu" hadi nimekata tamaa. Sifanyi tena "online purchases transactions" na CRDB.
 
Pole.... (ingawa kama unaipigia oromo barclays)

Binafsi natumia crdb kufanya transaction online na hawajawahi kunipiga panga pale manunuzi yanapofeli.....
 
Bora mmenistua nilikuwa nawaza kufatilia huduma hiyo, kumbe nayo ni pasua kichwa! Afadhali
 
Mbona Wapo vizuri tu,ilishawahi kunitokea nilipowataarifu tu wakarudisha Chenji zangu!au we unapigia promo barclays?
 
Dah.. Kidogo nicomment kwani nilikuwa sijui kama ni vita ya promo na wapiganaji wanalipwa:).
 
soma thread.uharo wako hauhitajiki.naona upo out of point.sifanyi markrting hapa.nashare experience.upo?
 
chochote kinachonifaa on my way lazima kipate promo.kisichonifaa pia promo lazima.
-Ni wazi kuwa crdb wanatabia hiyo na si hivyo tu bali wanatatizo la mtandao.unaweza kushop online na ukaachwa kwenye mataa au funds ikawa loaded zaidi ya mara 1.
-Barclays benki ya wa british.hawahitaji promo na walishakuwepo kabla ya nyerere kuingia madarakani.huduna zote wanazo tena zaidi ya crdb.
-advanced in technology.sina ushirika na wa british.lakini chema chajiuza.NAMASTE
 
-Go to hell crdb i know closed all crdb accounts and shifted to barclays 6 months ago=efficient services ever.
-ambae hajawai kuibiwa aje hapa tujadili.


Kwa ulichokiandika hapo juu lazima Uibiwe tu..
 
Mkuu naona mwalimu wa lugha..Anyway nilikuwa nimeng'atwa na sisimizi nilipokuwa natype.
-Go to hell crdb,I now closed all of my crdb accounts and shifted to barclays 6 months ago=efficient services ever.
-ambae hajawai kuibiwa aje hapa tujadili.
 
Sasa kama ushafunga accounts wataka nini tena?? Munatafuta kick tu humu.....siku hao Barclays wakikukalisha hautosema na unaonekana issue za banking bado una ugeni nazo.........

International banks you better opt for the standard chartered bank only wako vizuri kila kona

Local bank i prefer CRDB iyo case yako moja haiwezi kuwaondolea credibility yao na haina impact zaidi zaidi unaonekana wazi you promoting Barclays

Kuruka jivu na kukanyaga moto
 
Back
Top Bottom