Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
wakuu wengi tumeshuhudia mateso tunayopata wakati tunalipia na tusipolipia tunakatiwa mpaka local channel
njia pekee ni kutumia madishi ama ungo kama yanavyojulikana mfano eurostar, gulf na mengine mengi
faida yake ni kuwa unaeza kutizama mpaka channel 300 bure bila kulipia
kulipia ni baadhi tu ya channel ila kuna free channel kama 300 hivi. unatumia miaka yote bila kulipia
faida nyingine haya ndo baba wa digitali kwani yana ubora wa picha na sauti
habari ya kusikrach haipo na kabisa na ubora wa sauti
faida nyingine ukitaka channel fulani waweza pata kwa kuweka namba fulani au frequency au kuelekeza dishi upande fulani na unapata
hii kitu ina channel nyingi sana za michezo na haina haja ya kuwa na dstv
nunueni hizo ungo muachane na mateso ya kulipia ving'amuzi mpaka local channel
asanteni