Hisa (DSE): Nataka kupata gawio la 12ml Tshs kwa mwaka

Mikeyy

Senior Member
Jul 8, 2015
106
35
Wadau kutokana na heading hapo juu, je ninunue hisa kias gan kutoka DSE na kutoka makampuni yapi na kwa garama kiasi gan?
 
Gawio la mil 12 ni kubwa. You need to have an extensive capital to invest. Umejiandaa kwa pesa ya kutosha?
 
its good.nunua za crdb bank.ni uhakika faida.
-though the market policy&rules protects you.if no profit then ur money will still be there.
 
Back
Top Bottom