Mimi nilikua shabiki msikilizaji mzuri sana wa Power Breakfast ya Clouds Fm nakiri kiukweli bwana Gerald Hando ndiye aliyenihamasisha kuwa msikilizaji wa kila siku na alipohama kwenda E-fm nikahama naye
Ila nikaendelee kupata ile ladha yake!! ila nasikitika kusema kuwa baada ya kuhamia huku...
kweli mpoki analeta masihara mpaka anapitiliza anaharibu kipindi yaani ukiuliza kipindi cha ubaoni Kina dhima gani huwezi kuelezea kabisa kiukweli kipindi efm ni cha michezo na uhondo tu
hizi simu kumbe walipewa wote mbona le mutuz alipost picha karibu kumi za kujisifia kapewa simu kwa ajili ana akili kubwa daaah yule baba Mungu anamuona
nilimsikia kwa masikio yangu yule bikira wa kisukuma, mpoki na yule mwenzao wakiipondea ile show ya chips yai waliyofanya clouds na wao wakafanya komaa concert
kweli kabisa masoud anajua kuliko kairudisha pb katika hadhi yake Efm sijajua tatizo ni pr manager au presenters vipindi havieleweki dhima yake wanaishia kupiga majungu tu kwenye vipindi
hando na pj walipoondoka pb ilitetereka ila baada ya kuja masoud kipanya na siza pb imeimarika imekua bora kushinda ile ya hando na pj kwaiyo mpk sasa pb ndio kipindi bora cha asubuhi mpk sasa
habari wana jamvi!! simu yangu ya Samsung s4 ilianguka na bahati mbaya ikaharibika camera yaan screen yake imevunjika kwaiyo nikipiga picha inatoka kama ina ukungu!! Kwaiyo nilikua naomba ushari je nibadilishe hii camera au niache tu maana nahofu baada ya kufunguliwa simu uenda ikaleta tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.