Recent content by brother M

  1. brother M

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa kipaumbele cha Mikopo kwa ualimu wa sanaa, ni salamu kuwa ajira Hakuna

    Tatizo walimu was arts in wengi inafikia muda wanagawana topics
  2. brother M

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu sehemu za siri baada tu ya kufanya mapenzi

    Mshahara wake ndo huo dawa ya moto endelea kugegeda tuone mwisho wake Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
  3. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaogopa Wanawake, walitaka kuniloga lakini wakashindwa

    Kwann urogwe? Mi naamini ukiwa sawa na MUNGU nothing bad can happen to you ila ukipenda kuwachezea wanawake utakuwa kichaa
  4. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka binti wa kitanzania akupende kwa dhati, mfanyie mambo haya

    Huo utakuwa ujinga akinitibua namtibua kuliko kulazimisha MTU anipende kwa kumfichia makosa yake
  5. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

    Ah mi simo
  6. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemuacha anatishia kujidhuru

    Mjinga huyo wanawake akili zonafanana kama angekuwa anakupenda kiasi cha kujidhuru kwa ajili yako asingefanya huo ujinga anaokufanyia piga chini endelea na mambo yako cha kufia nn?
  7. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini meseji zake za mkato

    Moyo mashine
  8. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa na picha za utupu zilizosambaa mtandaoni huyu hapa, ahojiwa na kunena haya

    Nilisikia kajiua VP hajafa tu maana watu kama hao ndo wanasababisha hata MUNGU atuchukie nchi yetu tukose mvua hii dhambi itawatafuna
  9. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa sekondari, kwanini mnafanya hivi?

    Njia pekee ni kuwachana live wakiwa darasani ila c kuwataja majina LA sivyo ataingia mkenge nakumbuka nilipokuwa field mwaka Jana kuna binti alijifanya ananitaka nilimponda nikamtia fimbo mbele ya wanafunzi mpaka nimemaliza field heshima IPO jitahidi hao ni wanao we ni mzazi
  10. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bingwa wa kubikiri Malawi akamatwa kwa amri ya Rais

    Haya utayKuta kwa watu weusi tu da
  11. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka nimuoe ilihali sina kazi

    Acha utoto ww kwani unataka nn
  12. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongereeni Kenya kwa hili, Mungu Awabariki!

    Da kweli wabongo c ni wapuuzi maana kuna mchina kamuua mtanzania kwenye migodi kisa kudai aongezewe hela lkn kimya sisikii chochote aise I hate to be in this poor countries
  13. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko single eti wananishangaaa

    Hao watakuwa wajinga hao mi naona kuwa single ndo mpango mzima cna haja ya kutafuta stress
  14. brother M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio full list ya mikoa yenye wanawake wanaojua kukarangiza misosi

    Ah hatari
  15. brother M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kuolewa

    Mi nadhani MUNGU tu ndiye anaweza kukusaidia kupata mume au mke mwema wengine imani haba halafu wanataka kuombea watu kama IPO IPO tu mwaminini MUNGU
Back
Top Bottom