Napata maumivu sehemu za siri baada tu ya kufanya mapenzi

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,606
2,000
Nilijiapiza sitatumia condom tena, jumapili kuna Mwananmke alikuja geto nikafanya naye mapenzi. Nlifanya naye mapenzi bila Kinga, ila cha ajabu ilipofika jumatatu nikaanza jisikia maumivu kwenye Uume kila nikienda kukojoa naumia sana.

Nikahisi nina gono, nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu, sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.

Kwa kweli nimechanganyikiwa sana.
 

Think Hard

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
318
500
Hiyo itakua ugonjwa wa zinaa...kapime tena sehemu nyingine tena fanya haraka sana iwezekanavyo.
Lakini mkuu wacha usinzi...mwisho wake utakua mbaya zaidi...Oa na utulie na mke wako.
 

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
1,898
2,000
Nilijiapiza sitatumia condom tena,jumapili kuna demu alikuja geto nikamgegeda,ilibidi nisivunje kiapo cha nikamgegeda pekupeku,ila cha ajabu ilipofika jumatatu nikaanza jisikia maumivu kwenye dushe kila nikienda kukojoa,naumia sana,nikahisi nina gono,nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu.sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.kwa kweli nimechanganyikiwa sana,
pole bro,huyo demu alikuwa na UTI kwahiyo wewe tafuta dawa zinaitwa septrin izo ndio kiboko ya maambukizo hayo,hiyo ni uti asa ukiikawiza unaenda chomwa sindano hospital
 

nsekwa

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
935
1,000
Nilijiapiza sitatumia condom tena, jumapili kuna Mwananmke alikuja geto nikafanya naye mapenzi. Nlifanya naye mapenzi bila Kinga, ila cha ajabu ilipofika jumatatu nikaanza jisikia maumivu kwenye Uume kila nikienda kukojoa naumia sana.

Nikahisi nina gono, nimeenda hospital kupima eti naambiwa mkojo ni mchafu, sasa najiuliza ni nini tatizo? Maana naumia sana kila ninapokojoa.

Kwa kweli nimechanganyikiwa sana.
Hizo ni dalili za gono wala usijifariji kwa lolote. Ukipima mkoja ukiwa na STD lazima utaambiwa mkojo ni mchafu
 

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,570
2,000
pole kijana ndio tatizo la kuingia chooni bila viatu punguza uzinzi ama sivyo utapigwa bomba.
 

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,370
2,000
large.jpg
 

chlorine gas

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,964
2,000
Hiyo issue ishawahi nitokea mwez wa nane nikapima mkojo wakaandika many puss cells nurse akakazia hyo ni gono ila nikajiuliza gono gan limekuja baada ya miez miwili mana kwa kipnd hicho ckukitana na demu wa aina yeyote nikaja kujua ni uti mana gono kulipata utalijua muda mfupi ila nashukuru nlipata dawa nikapona
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom