naomba kuuliza mbegu zinauwezo wa kukaa mwilini mwa mwanamke kwa muda wa siku ngap? kabla ya kutunga mimba??? namaanisha mwanamke akifanya mapenzi siku ya 12 mbegu zinauwezo wa kukaa mpaka siku ya 14 zije zirutubishe yai mimba itungwe??
Mkuu kuwa na msimamo mwambie hupendi hiyo tabia na pili umeshasema ni mkeo hivyo wewe ni mwanaume sio mvulana kwa hiyo kuna wakati unapaswa ufanye mambo kama mume na sio kama wafanyavyo wavulana (wasiooa)
wandugu naomba kwa anayeweza kunisaidia niweze kufungua account yangu ya facebook kwenye laptop maana tokea juzi niki log in haionyeshi picha zozote wala messages lakini nakuwa naonekana online,,na page yenyewe ipo tofauti na jinsi page ya facebook inavyofungukaga kawaida.Nitashukuru sana kwa...
Naomba anayeweza kuniambia kama ni ugonjwa au ni hali tuu ya kawaida inayoweza kumtokea mtu..
kisa chenyewe ni hivi kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae kwa takribani miezi 10 hivi akaja akaanza kudate na mtu mwingine sasa shida inakuja pale ninapotaka kuanzisha uhusiano a mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.