Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,108
- 34,934
MziziMkavu nikitaja nikipata jina utanipa nini kwanza? ebu taja zawadi kwanza....
Mastafeli ni matamu sana
Stafeli ni hili
View attachment 148818
Ndio mkuu picchu,hilo ndilo tunda liitwalo stafeli.Lile aloweka MziziMkavu ni topetope.Asante kwa kuweka picha ya stafeli.
Hasa ulikute limeiva sanaaaaa mpaka linatoka maji aaaaaaaah.......😛😛😛😛😛😛😛
Ni stafeli hilo
MziziMkavu nikitaja nikipata jina utanipa nini kwanza? ebu taja zawadi kwanza....