jaman wana jf natatzo linansumbua.mi ni nimiongoni mwa walo apply zimamoto kitengo cha konstebo kwa ku2mia jina la athuman hassan sasa kwenye gazet naona athuman h.athuman.xaxa hapo cjaelewa ndo mimi ama mwingne mwenyekujua 0683305215 ata sms inatosha
majina hayo yana patika kwenye magazeti ya uhuru mwananchi na the gurdian chanzo 1 wa maofisa wa jeshi ilo
Mods, nawaombeni muunganishe haya mathread ya zimamoto yote coz naona kama kero fulani hivi. Yaani kila mtu anaanzisha thread yake pasi na kuzingatia threads zilizopo. AU MMELALA???
majina ya S ni mengi. njia sahihi sema jina lako nikujulishe.
wakubwa niangalizieni na mimi modern julius upande wa sajini kama nimetokelezea
faraja wapo kadhaa ila linalokaribiana na hilo ni: Faraja Japhet Mwashiuya.Faraja joseph, pliiiiiiz
niangalizie jina richard nyabusani make huku kwetu gazet hazifik
Naomba mniangalizie rahim mohamedi