Recent content by brigh wise

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

    Kaaazi kweli Kweli!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Rais Rais...... Membe bhana

    Membe ni chapati kama chapati nyingine tu! Awe rais wa familia yake labda!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ccm wanashinikiza kura ya wazii

    umoja ni nguvu utengano ni udhaifu!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Iringa sehemu nyingi zinaanza na "I" Nini maana yake?

    I ni kiambishi awali cha nomino zote za vitu katika lugha ya Kihehe isipokuwa majina ya watu na baadhi ya vitu kama shamba miti! Kwa mfano iwapo msemaji anataka kusema "Jogoo anawika" Atasema: "Inzogolo yivika" That is all about I in Kihehe!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngara mh. Ntukamazina (CCM) apata aibu!

    Insane thinking!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    ccm ndo chama langu daima!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mjenzi aanguka kutoka goropha ya sita Maeneo ya Ilala

    Wenye magari wengi vburi sana! Pole zake mjenzi jamani. Vp amepata matbabu?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kanisani balaaa...

    Mungu wa kweli anawajua walio wake!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Matukio makubwa yalitokea Nchini 2013.

    Kwangu mwaka 2013 ulikuwa mgumu sana na matukio mabaya mengi kama ya vijana kuwa punda wa kusafirisha unga kama akina mangwea, ...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mchawi akamatwa jijini Dar na kuuawa baada ya kudondoka na ungo

    Mchawi??????? Mshahara wa dhambi ni mauti! Wngine wajifunze na wakome kusumbua watu!!!!!!!!!!!!!!!:sleepy:
  11. B

    JamiiForums Tanzania Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

    Lowassa ndio Rais wa Tanzania 2015 asiyetaka bassssssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!:bange:
  12. B

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Geita ni adui wa Tanganyika.

    Mtoa mada uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana!!!!!!!! Sema hujamwelewa:cool2: au ulipata division v? Pole sana:crazy:
  13. B

    JamiiForums Tanzania CCM vs CHADEMA;NANI MTANI JEMBE? KUKOMESHA UBISHI PIGA KURA YAKO SASA!

    ccm ni kama mlima Kilimanjaro na cdm kama kichuguu!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Natupa line ya voda sasa

    Mie natumia baba lao maana voda waliniibia sana eti naeka vocha wanachukua nzima hawana hata aibu hawana! washindwe na wall walegee!
  15. B

    JamiiForums Tanzania El al israel airlines scheduled to land at kia weekly effective from april 2014

    Inawezekana ulipata dvn v wewe sio bure!
Back
Top Bottom