Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,979
- 27,911
LOWASSA FOR PRESIDENCY 2015 FULL STOP NO QUESTIONS;-Watanzania wamegundua uhalisia na zengwe lililopitika mpaka kusababisha mh.kujiuzuru ni kwa busara zake ktk kunusuru mpasuko au mgawanyiko miongoni mwa viongozi wenzake na chama kwa ujumla wake,ni kwa hekima zake alikaa na kutulia kutafakari hilo kwani kama sio busara kutumika ccm ingeliweza gawanyika,kwa sababu hii sioni kwa nini UMMA wa watanzania usimuunge mkono katika URAIS 2015,kwani ni mtu mwenye uthubutu na ujasiri wa ku-transform nchi kutoka katika nadharia kuelekea kwenye vitendo halisia.