frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Nilikuwepo uwanjani lakin nilichokiona, sasa kwenye ITV nimecheka sana na sikukiona live uwanjani
Ni membe anashangiliwa na vijana kwa kuwa rais rais rais ..... akitoka uwanjani amekutana nao nje akafungua vioo nakuwapa mkono huku akitabasamu sanaaaa
Kwa hali hii kuna kazi sanaaa mpaka 2015
"Wamesikia mvumo tu wameniita wakati bado sijaoteshwa" by membe alipohojiwa.