Matukio makubwa yalitokea Nchini 2013.

mihadarati

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
269
195
Haya ni miongoni mwa matukio makubwa yaliyotokea kwa mwaka 2013 ambao tunaelekea kuuaga na kuukaribisha mwaka 2014.

Nitaorodhesha matukio ambayo kwa upande wangu naona yalipewa nafasi kweye vyombo vya habari hapa nchini na kuvuta hisia za watanzania wengi,ila na wew unakaribishwa kuongeza ambayo ntakuwa sijayaweka hapa,karibu..

1.Tukio kubwa na lililopewa nafasi kwenye vyombo vya habari hapa nchini pamoja na kuvuta hisia za watu ni pamoja na Ujio wa Raisi wa Marekani Baraka Obama.

2.8Kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa tume ya Katiba Sengondo Mvungi.

3.Operesheni Tokomeza ujangili iliyotekelezwa kwa uonevu mkubwa na kupelekea wananchi wasiokuwa na hatia kuuawa na kuachwa walemavu hatimaye kuwang'oa mawaziri wanne.

4.Kuvuliwa nyadhifa alizokuwa nazo ndani ya Chama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zito Kabwe.

5.Tukio la kupigwa risasi Mtangazaji wa kituo cha television cha ITV Ufoo Saro na mama yake mzazi kuuawa na aliyekuwa mzazi mwezanke Anthery Mushi ambaye naye alijiua kwa kujipiga risasi.

6.Kuuawa kwa Padre Evarist Mushi Huku zanzibar.

7.Mgogoro wa Gesi uliotokea Mtwara.
8.Mauaji ya Mfanyajiabishara Erasto Msuya.

9Kifo cha wakili maarufu mjini Arusha Nyaga Mawalla.

karibuni wadau...
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,309
2,000

magaid wa kiislam kulipua bom kanisani,arusha,magaid wa kiislam kupga padri risas zanzbar na kuchoma makanisa,magaid wa kiislam kuua watu huko geita kwa kuwalazimisha na kung'ang'ania kuchinja kitoweo.
 
Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
503
250
magaid wa kiislam kulipua bom kanisani,arusha,magaid wa kiislam kupga padri risas zanzbar na kuchoma makanisa,magaid wa kiislam kuua watu huko geita kwa kuwalazimisha na kung'ang'ania kuchinja kitoweo.
Wewe ------ kweli
..
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Rais kuwa mtalii badala ya kutatua kero za nchi yake yaani kwa mwonekano bora angezaliwa sharobaro u.s.a.
 
brigh wise

Member
May 4, 2013
70
0
Kwangu mwaka 2013 ulikuwa mgumu sana na matukio mabaya mengi kama ya vijana kuwa punda wa kusafirisha unga kama akina mangwea, ...
 
Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
2,000
Tangazo la Umeme kupanda bei..

Wananchi kumuua diwani wao huko mwanza...

Kutangazwa kwa divishen faivu...

Shule ya makuti, mwalimu m1 ila wanafunzi wamefaulu wote japo walifundishwa kusoma, kuandika na kuhesabu tu.

Polisi kukwapua pesa walizoenda kuziokoa kariakoo...
 
mshumbue-soi

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
1,846
2,000
Hakuna tukio kubwa 2013 kama la Prof. Kutangazia umma kuwa Zero haitakuwepo bali tutakuwa na Div 5. tukio la div 5 ni tukio lililonipiga na kuwapiga bumbuazi watu wengi Maprofesa ni wabunifu ila Prof wa div 5 ili kutatua pia kushuka kwa kiwango cha elimu Alikuwa zaidi ya KUPIKA BOMU LA NYUKLIA nawaza alitoa wapi hilo wazo na watendaji wake wakina tanganyika pia ni Muungano wa zimbabwe NIKAONA kweli Elimu yetu na shule zetu za kata IMEINGILIWA ni zaidi ya Majanga.

Sina namna naweza eleza tukio hili kubwa 2013 kila nikiikumbuka nakumbuka div 5 nacheka serious na nikikumbuka Prof. ndiye aliyetangaza naona muluga ana afadhali anavyoelewa Muungano wetu.

Lakini tukio la ZERO kuwa zaidi ya NUSU Baraza la mtihani nalo LIKA Resit Wanafunzi wao wakala kimya home baada baraza kurudia mtihani kwa kufeli wengine wakapatizwa div 1,2,3 na hakuna aliyefeli zaidi bali kupandishwa.

Kitendo cha baraza kuresit haijawahi kutokea NI TUKIO KUBWA 2013 ndi lililo anzisha div 5 ili isitokee tena ZERO
Yani wanavuruga uhai wa taifa
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,036
2,000
Mlipuko wa bomu hapo Soweto lilloua Watanzania wasio na hatia hapa A town mtaiweka wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom