Ccm wanashinikiza kura ya wazii

Ccm wanashinikiza kura ya wazii

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,233
Reaction score
98,194
Imebainika kuwa ccm kwa makusudi inaendelea kushinikiza wajumbe wa bunge la katiba wapige kura ya wazi ili wajumbe wa upande wao wasije kiuka maagizo ya ccm
 
Ccm wanapashwa kujua kuwa katiba inayo kusudiwa kuundwa ni ya watanzania wote na sio wana ccm
 
Ccm wanapashwa kujua kuwa katiba inayo kusudiwa kuundwa ni ya watanzania wote na sio wana ccm

Hiyo kaka Qualifier ni kweli lakini watu waliomadarakani hawajali kabisa.wanachojali wao ni kuendelea kushika dola.
 
Wakizingua tunatemana nao hata kabla ya kura ya maoni
 
Back
Top Bottom