Pole sana dada, maisha yamejaa changamoto nyingi na mateso lakini katika yote Mungu ana tupitisha maana ana jua kila jaribu analotupa tunauwezo wa kulibeba kikubwa ni kuendelea kumuomba MUNGU akuna maumivu yasiyo na mwisho kwake!
Habari wana jamvi, Nilkuwa na omba kujua kiundani kuhusiana na hii kozi ya post graduate deploma in education.
Mimi baada ya kumaliza degree yangu nataka ni badili fani.
Swali langu ni ili baada ya kumalza hii kozi ajra ziki toka unaajiriwa kama mtu mwenye degree ya uwalimu au yenyewe ina kuwa...
Hivi hawa wasanii wetu hasa hizi lebo mbili kubwa Tanzania nini kina wakumba awawezi kufanya kazi bila kuwa na kiki?
Ukiangalia mziki watanzania ulikuwa una kua kwa kasi kubwa sana, lakini hii miaka ya karibuni umeanza kushuka na hii ina sababishwa na wasanii wetu baadala ya ku focus na ngoma...
Nlkuwa na angalia movie kwenye PC yang then charge adapter ilkuwa nyuma ya screen kama cm 15 iv baada ya mda kutoka kidg na rud after 30mn nakuta screen ime pungua mwanga sana fund aka niambia n ime kufa ic nka nunua scrn nyngn.
Swal lang mm n hili chanzo cha iyo scren kuwa dark (yan ina onysha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.